Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Mimi ni Yanga pure mechi ya mwisho nipo Azam, nataka iwe ya pili. Simba ni jumba bovu liachwe lianguke!!mimi ni yanga pure ila kwa mechi ya mwisho nipo simba,nataka iwe ya pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni Yanga pure mechi ya mwisho nipo Azam, nataka iwe ya pili. Simba ni jumba bovu liachwe lianguke!!mimi ni yanga pure ila kwa mechi ya mwisho nipo simba,nataka iwe ya pili
Mnyama hakuwa na mipango michafu 🤣🤣🤣
View attachment 2999681
Alafu kipa na mchezaji mwenzake wanapongezana 🤣🤣🤣 baada ys kutuzawadia goli NGURUWE FC!
Swali fikirishi je unajua kwanini Simba Mzee Huwa anafukwazwa kwenye familia akaanza kuzululaNi kweli kabisa. Simba ni Simba. Hata kama akiwa mgonjwa atabaki kuwa Simba, mfalme wa nyika.
Huu ni msimu wa masika kwa vyura pale jangwani. Waache wapige kelele za furaha; ni wakati wao wa kujidai. Wakumbuke pia kuna msimu wa kiangazi na ukame. Siku wakikosa maji hayo makelele hayatasikika.
Tena ni mawazo ya mtu lofa kweri kweri!We binti muda wote kinywa chako kinatema matusi tu.Hutaolewa usipobadilika.
Goli la simba lilikuwa la mauzo hakuna ubishiLeo pale chamazi kulikuwa na vituko, walidhania mnyama atashinda meengi hivyo jamaa wakagharamiwa kila kitu, mpango ulikuwa half time watoke ngoma katuro then kipind cha 2 washinde idadi hiyo kubwa na yule finest apate 2, very shame.
Kumbe mnyama wala hakuwa na mipango michafu, sasa kama mnataka vurugu subiri mechi ya mwisho, tutampiga JKT bao 15 halafu mseme tumehonga.