Ushindi wa Chamazi leo ulipangwa

Ushindi wa Chamazi leo ulipangwa

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Leo pale chamazi kulikuwa na vituko, walidhania mnyama atashinda meengi hivyo jamaa wakagharamiwa kila kitu, mpango ulikuwa half time watoke ngoma katuro then kipind cha 2 washinde idadi hiyo kubwa na yule finest apate 2, very shame.

Kumbe mnyama wala hakuwa na mipango michafu, sasa kama mnataka vurugu subiri mechi ya mwisho, tutampiga JKT bao 15 halafu mseme tumehonga.
 
FB_IMG_1708800071658.jpg
 
Msimu huu binafsi nishakubali tumepoteza, hata tukienda shirikisho, nilishajiandaa kisaikolojia kuwa hata nafasi ya 5. Ngoja tuone msimu ujao tutajipanga vipi. Simba ni Simba hata akizungukwa na vyura 1000.
 
Mipango michafu ilianza kwa kuhamisha game toka Dar hadi Arusha, siku chache kabla ya game
 
Ni kweli kabisa. Simba ni Simba. Hata kama akiwa mgonjwa atabaki kuwa Simba, mfalme wa nyika.

Huu ni msimu wa masika kwa vyura pale jangwani. Waache wapige kelele za furaha; ni wakati wao wa kujidai. Wakumbuke pia kuna msimu wa kiangazi na ukame. Siku wakikosa maji hayo makelele hayatasikika.
 
Wanakoroma kweli. Usiku mrefu na mvua ishaacha madimbwi tunafanyaje sasa.
 
Leo pale chamazi kulikuwa na vituko, walidhania mnyama atashinda meengi hivyo jamaa wakagharamiwa kila kitu, mpango ulikuwa half time watoke ngoma katuro then kipind cha 2 washinde idadi hiyo kubwa na yule finest apate 2, very shame.

Kumbe mnyama wala hakuwa na mipango michafu, sasa kama mnataka vurugu subiri mechi ya mwisho, tutampiga JKT bao 15 halafu mseme tumehonga.
Umevurugwa.
 
Hayo mawazo ya mtu lofa.
 
mimi ni yanga pure ila kwa mechi ya mwisho nipo simba,nataka iwe ya pili
 
Leo pale chamazi kulikuwa na vituko, walidhania mnyama atashinda meengi hivyo jamaa wakagharamiwa kila kitu, mpango ulikuwa half time watoke ngoma katuro then kipind cha 2 washinde idadi hiyo kubwa na yule finest apate 2, very shame.

Kumbe mnyama wala hakuwa na mipango michafu, sasa kama mnataka vurugu subiri mechi ya mwisho, tutampiga JKT bao 15 halafu mseme tumehonga.

Mnyama hakuwa na mipango michafu 🤣🤣🤣

Alafu kipa na mchezaji mwenzake wanapongezana 🤣🤣🤣 baada ys kutuzawadia goli NGURUWE FC!
 
Back
Top Bottom