Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,013
- 3,679
MM254 is right,Tanzania waliwakamata watu wa mzee EDDO mpaka uchaguzi ulipoisha.Kwani tallying station watu si wanahesabu kura zao, wewe ukigombana kwa hilo basi nia yako ni "kukwiba" kura!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MM254 is right,Tanzania waliwakamata watu wa mzee EDDO mpaka uchaguzi ulipoisha.Kwani tallying station watu si wanahesabu kura zao, wewe ukigombana kwa hilo basi nia yako ni "kukwiba" kura!
Haha, hawatasahau kwa wepesiTatizo ni bomba la mafuta kutoka Uganda mkuu. Povu linawatoka kama wamekunywa cocktail ya Omo na Jamaa soap.
Wakenya pambaneni na hali zenu.
Kwa uvumilivu,utulivu,maneno ya busara na hekima,naamini Uhuru Kenyata,is one of the Best President in the whole EAC. Ukweli lazima usemwe.Uhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.
Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.
Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
Yule ni mwanaume sio nyie masharobaro wa MombasaUhuru si mtu was grudge unlike magufuli wakucatch mafeelinga kama cocacola aka dem ana nyesha
sent from iPhone 7
Na mtaumia sana tu.Uhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.
Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.
Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
Maneno ya hekima yatakusaidia nini wewe, kuongoza serikali corrupted kama ya Tanzania lazima uwe kauzu hata Nyerere hakua anachekacheka hovyo mwanaume unataka ubembelezwe unataka kubebika?Kwa uvumilivu,utulivu,maneno ya busara na hekima,naamini Uhuru Kenyata,is one of the Best President in the whole EAC. Ukweli lazima usemwe.
Lakini pia nilivyoona kwenye runinga,pamoja na dosari,ambacho ni kitu cha kawaida ila IEBC wamejitahid sana kuendesha zoez zima la uchaguz,Watanzania kuna mambo ya kujifunza kutokana na uchaguz ulivyofanyika kule Kenya.
Nimeona wapinzani wa Bongo wanamuita "Baba wa demokrasia Afrika Mashariki"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wanafiki, usiamini kila wanachosema. Pongezi nyingi zinakuja kwa Kenyata sababu tu ya kumchokonoa Magu kwa kuwa ni rafiki wa Odinga, vingenevyo Kenyata ni type ya Kikwete hawana jipya huku.Nimeona akisifiwa pia na wanaCCM, yaani Wabongo wanaomkubali wametokea vyama vyote.
Huwajui wabongo wewe!Nimeona akisifiwa pia na wanaCCM, yaani Wabongo wanaomkubali wametokea vyama vyote.
100%Wabongo wanafiki, usiamini kila wanachosema. Pongezi nyingi zinakuja kwa Kenyata sababu tu ya kumchokonoa Magu kwa kuwa ni rafiki wa Odinga, vingenevyo Kenyata ni type ya Kikwete hawana jipya huku.
Kagame ndio alikuwa kipenzi cha wabongo kwa marais wa EA kipindi cha Kikwete sababu tu alikuwa na ugomvi na JK, kila jema lazima lilikuwa lihusishwe na Kagame, saivi Kagame kwa kuwa ni best ya Magu, sifa zote zile za Kagame haziko tena, bali ni dikteta wa kukaa naye mbali.
Ukiishi na wabongo, kuwa makini wako vyema sana kukulisha kilemba cha ukoka, huku nyuma wanakung'ong'a, Kenyata asifikirie wala kuthubutu kujiingiza kwenye siasa za Tz wala kuwapa support upinzani Tz, wanabadilika kama vinyonga hao.
My thoughts.
Sio siri kwamba Magufuli na Kenyatta are not exactly best friends.
Tutegemee mivutano ya kibiashara kati ya heavyweights hizi mbili za EAC kuendelea. Zuia hiki nizuie kile.
Rumor has it Magu alimsupport Raila. If true, lazima Kenyatta atakuwa na kinyongo kwa JPM.
Anywhos.....CHADEMA tumieni urafiki wenu na Uhuru vizuri unaweza kuwasadia 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Too bad hii jumuiya yetu tunayoambiwa ni "people driven" bado inategemea personal friendships of heads of state and government. By now the EAC should be an unstoppable institution, backed by its relevance to common folks lives.M7 and Raila are not in very good terms, are they?
So, either way, Uhuru win or Raila win, EAC is bound for instability.
And why does this instability has to occur bcos of Kenya? The leaders of the other EAC members must agree to work with the govt in Kenya whether they have personal differences with the head of the Kenyan govt or not.
If impossible, well, to hell!
Too bad hii jumuiya yetu tunayoambiwa ni "people driven" bado inategemea personal friendships of heads of state and government. By now the EAC should be an unstoppable institution, backed by its relevance to common folks lives.
Same mistakes zinarudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnh.....kumbe ndo mpango wa 2020 huo? Kila la kheri upinzani.TUNAMSHUKURU UHURU KENYATA KWA KUTUHAKIKISHIA WANACHADEMA KUWA ATATUPA SUPOORT YA HALI, MALI NA ECHNLOGIA KUHAKIKISHA TUNAIKAMATA IKULU YA TANZANIA. HEKO UHURU, HEKO WAKENYA...LENGO LETU NIKUIONDOA CCM MADARAKANI NA MSAADA WENU NI MUHIMU
Uhuru ni mwenye ukomavu wa Democracy,MTU anaongea kwa hekima na busara sana ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru si mtu was grudge unlike magufuli wakucatch mafeelinga kama cocacola aka dem ana nyesha
sent from iPhone 7