Ushindi wa Kenyatta utaidhoofisha zaidi EAC

Kwani tallying station watu si wanahesabu kura zao, wewe ukigombana kwa hilo basi nia yako ni "kukwiba" kura!
MM254 is right,Tanzania waliwakamata watu wa mzee EDDO mpaka uchaguzi ulipoisha.
 
Kwa uvumilivu,utulivu,maneno ya busara na hekima,naamini Uhuru Kenyata,is one of the Best President in the whole EAC. Ukweli lazima usemwe.
Lakini pia nilivyoona kwenye runinga,pamoja na dosari,ambacho ni kitu cha kawaida ila IEBC wamejitahid sana kuendesha zoez zima la uchaguz,Watanzania kuna mambo ya kujifunza kutokana na uchaguz ulivyofanyika kule Kenya.
 
Magu pongezi kwa Uhuru lini? Kagame,Museveni wamepongeza Uhuru kwa ushindi.
 
Na mtaumia sana tu.
Ila mnyuko uko palepale
 
Maneno ya hekima yatakusaidia nini wewe, kuongoza serikali corrupted kama ya Tanzania lazima uwe kauzu hata Nyerere hakua anachekacheka hovyo mwanaume unataka ubembelezwe unataka kubebika?
 
Nimeona akisifiwa pia na wanaCCM, yaani Wabongo wanaomkubali wametokea vyama vyote.
Wabongo wanafiki, usiamini kila wanachosema. Pongezi nyingi zinakuja kwa Kenyata sababu tu ya kumchokonoa Magu kwa kuwa ni rafiki wa Odinga, vingenevyo Kenyata ni type ya Kikwete hawana jipya huku.

Kagame ndio alikuwa kipenzi cha wabongo kwa marais wa EA kipindi cha Kikwete sababu tu alikuwa na ugomvi na JK, kila jema lazima lilikuwa lihusishwe na Kagame, saivi Kagame kwa kuwa ni best ya Magu, sifa zote zile za Kagame haziko tena, bali ni dikteta wa kukaa naye mbali.

Ukiishi na wabongo, kuwa makini wako vyema sana kukulisha kilemba cha ukoka, huku nyuma wanakung'ong'a, Kenyata asifikirie wala kuthubutu kujiingiza kwenye siasa za Tz wala kuwapa support upinzani Tz, wanabadilika kama vinyonga hao.
 
Fanyeni kazi zenu nyie watanzania wazembe mmeshindwa kuunga mkono harakati za magufuli tanzania mnakimbilia kwenye nchi za watu kuleta umbea..... Noncense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100%
 

M7 and Raila are not in very good terms, are they?

So, either way, Uhuru win or Raila win, EAC is bound for instability.

And why does this instability has to occur bcos of Kenya? The leaders of the other EAC members must agree to work with the govt in Kenya whether they have personal differences with the head of the Kenyan govt or not.

If impossible, well, to hell!
 
Too bad hii jumuiya yetu tunayoambiwa ni "people driven" bado inategemea personal friendships of heads of state and government. By now the EAC should be an unstoppable institution, backed by its relevance to common folks lives.
Same mistakes zinarudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

TUNAMSHUKURU UHURU KENYATA KWA KUTUHAKIKISHIA WANACHADEMA KUWA ATATUPA SUPOORT YA HALI, MALI NA ECHNLOGIA KUHAKIKISHA TUNAIKAMATA IKULU YA TANZANIA. HEKO UHURU, HEKO WAKENYA...LENGO LETU NIKUIONDOA CCM MADARAKANI NA MSAADA WENU NI MUHIMU
 
TUNAMSHUKURU UHURU KENYATA KWA KUTUHAKIKISHIA WANACHADEMA KUWA ATATUPA SUPOORT YA HALI, MALI NA ECHNLOGIA KUHAKIKISHA TUNAIKAMATA IKULU YA TANZANIA. HEKO UHURU, HEKO WAKENYA...LENGO LETU NIKUIONDOA CCM MADARAKANI NA MSAADA WENU NI MUHIMU
Mnh.....kumbe ndo mpango wa 2020 huo? Kila la kheri upinzani.
Naona ni jambo jema vyama vya Afrika Mashariki kushirikiana namna hii.
Inarahisisha kuundwa kwa Shirikisho la kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru si mtu was grudge unlike magufuli wakucatch mafeelinga kama cocacola aka dem ana nyesha

sent from iPhone 7

Kuna kitu nimejifunza jamni kuna wanaume wana moods, feelings, vijiba kuliko hata vibibi vilivyokuwa kwa menopause
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…