Ushindi wa Lembrus Mchome dhidi ya CHADEMA ni somo kwa waliopuuza katiba ya chama. Tujirekebishe

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
116
Mdogo wetu Lembrus Mchome ni zao halisi la CHADEMA amekulia ndani ya mfumo wa chama hiki, akitumikia nafasi mbalimbali ikiwemo Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro, Katibu wa Mwanga, na Mratibu msaidizi wa Mkoa.

Kwa sifa hizi pekee asingefaa kupuuzwa. Kama uongozi ungempa nafasi ya kusikilizwa mapema, huenda leo tusingekuwa tunazungumzia fedheha iliyotupata.

Aibu ya leo ni zao la wazi la kuvunjwa kwa Katiba ya chama chetu. Kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari hakikuwa cha haki.

Kuwaruhusu wapiga kura wasiokuwa wajumbe halali ni kwenda kinyume na Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 (toleo la 2019).

Hili halikuwa kosa la kutojua, ni matokeo ya dharau na ubishi wa kuzaliwa wa Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na rafiki yangu Heche.

Ushindi wa Mchome unaonesha kuwa ukweli haufi unaweza kupingwa, kupuuzwa, lakini mwisho wa siku hujitokeza kwa nguvu.

Nampongeza Kamanda Mchome kwa kusimamia ukweli, japo matokeo yake yameiacha CHADEMA kwenye hali ya aibu. Hili ni fundisho tosha juu ya thamani ya kuheshimu Katiba yetu na maoni ya watu wengine, Viongozi wetu sio Malaika kwamba hawawezi kusikiliza wengine.

Tulimdharau, tukamnyamazia, na sasa tumepata majibu yake, na kwa hali ya kifedha ilivyo na hama hama ya wanachama inayoendelea, ni wazi hatuna uwezo wa kuitisha Baraza Kuu kwa sasa.

Hii ni hali tuliyoijenga wenyewe, na sasa tunavuna tulichopanda. Tuikubali aibu hii, tujifunze, tusonge mbele kwa maarifa na nidhamu.

Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti sio cheo cha Malaika, ni cheo cha kuongoza na kusikiliza.
 
Mdogo wetu Lembrus Mchome ni zao halisi la CHADEMA amekulia ndani ya mfumo wa chama hiki, akitumikia nafasi mbalimbali ikiwemo Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro, Katibu wa Mwanga, na Mratibu msaidizi wa Mkoa. Kwa sifa hizi pekee asingefaa kupuuzwa. Kama uongozi ungempa nafasi ya kusikilizwa mapema, huenda leo tusingekuwa tunazungumzia fedheha iliyotupata.

Aibu ya leo ni zao la wazi la kuvunjwa kwa Katiba ya chama chetu. Kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari hakikuwa cha haki. Kuwaruhusu wapiga kura wasiokuwa wajumbe halali ni kwenda kinyume na Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 (toleo la 2019). Hili halikuwa kosa la kutojua, ni matokeo ya dharau na ubishi wa kuzaliwa wa Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na rafiki yangu Heche.

Ushindi wa Mchome unaonesha kuwa ukweli haufi unaweza kupingwa, kupuuzwa, lakini mwisho wa siku hujitokeza kwa nguvu. Nampongeza Kamanda Mchome kwa kusimamia ukweli, japo matokeo yake yameiacha CHADEMA kwenye hali ya aibu. Hili ni fundisho tosha juu ya thamani ya kuheshimu Katiba yetu na maoni ya watu wengine, Viongozi wetu sio Malaika kwamba hawawezi kusikiliza wengine.

Tulimdharau, tukamnyamazia, na sasa tumepata majibu yake, na kwa hali ya kifedha ilivyo na hama hama ya wanachama inayoendelea, ni wazi hatuna uwezo wa kuitisha Baraza Kuu kwa sasa. Hii ni hali tuliyoijenga wenyewe, na sasa tunavuna tulichopanda. Tuikubali aibu hii, tujifunze, tusonge mbele kwa maarifa na nidhamu. Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti sio cheo cha Malaika, ni cheo cha kuongoza na kusikiliza.
Ushindi wa Kuhani Mkuu kwa Pilato?
 
Unavyoona wewe kashinda? Kubebwa kijinga na ofisi ya Msajili tena uandike barua kwa maelekezo ya msajili napo ni kushinda?
 
State sponsored sabotage against Chadema.

Kama wewe ni mkristo kama jina lako linavyosema soma habari ya Mfalme Sauli na Kijana Daudi

Mnachofanya CCM na hao wajinga wenu ni sawa na aliyokuwa anayafanya Mfalme Sauli dhidi ya Kijana Daudi. Uzuri mwisho alifeli vibaya na kusudi la Mungu lilitimia.

Hata hili mnalofanya litafeli kama ilivyofeli project yenu ya G55
 
Mnatumia nguvu kubwa Sana kwenye mambo madogo
 
Mdogo wetu Lembrus Mchome ni zao halisi la CHADEMA amekulia ndani ya mfumo wa chama hiki, akitumikia nafasi mbalimbali ikiwemo Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro, Katibu wa Mwanga, na Mratibu msaidizi wa Mkoa.

Kwa sifa hizi pekee asingefaa kupuuzwa. Kama uongozi ungempa nafasi ya kusikilizwa mapema, huenda leo tusingekuwa tunazungumzia fedheha iliyotupata.

Aibu ya leo ni zao la wazi la kuvunjwa kwa Katiba ya chama chetu. Kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari hakikuwa cha haki.

Kuwaruhusu wapiga kura wasiokuwa wajumbe halali ni kwenda kinyume na Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 (toleo la 2019).

Hili halikuwa kosa la kutojua, ni matokeo ya dharau na ubishi wa kuzaliwa wa Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na rafiki yangu Heche.

Ushindi wa Mchome unaonesha kuwa ukweli haufi unaweza kupingwa, kupuuzwa, lakini mwisho wa siku hujitokeza kwa nguvu.

Nampongeza Kamanda Mchome kwa kusimamia ukweli, japo matokeo yake yameiacha CHADEMA kwenye hali ya aibu. Hili ni fundisho tosha juu ya thamani ya kuheshimu Katiba yetu na maoni ya watu wengine, Viongozi wetu sio Malaika kwamba hawawezi kusikiliza wengine.

Tulimdharau, tukamnyamazia, na sasa tumepata majibu yake, na kwa hali ya kifedha ilivyo na hama hama ya wanachama inayoendelea, ni wazi hatuna uwezo wa kuitisha Baraza Kuu kwa sasa.

Hii ni hali tuliyoijenga wenyewe, na sasa tunavuna tulichopanda. Tuikubali aibu hii, tujifunze, tusonge mbele kwa maarifa na nidhamu.

Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti sio cheo cha Malaika, ni cheo cha kuongoza na kusikiliza.
nawasikitikia sana wale ambao ni zao la uropokaji na kuporomosha matusi tu ndani ya chadema chini ya uongozi mpya kitaifa.

ni muhimu sana wakajifunza kwa Mchome :pulpTRAVOLTA:
 
Mdogo wetu Lembrus Mchome ni zao halisi la CHADEMA amekulia ndani ya mfumo wa chama hiki, akitumikia nafasi mbalimbali ikiwemo Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro, Katibu wa Mwanga, na Mratibu msaidizi wa Mkoa.

Kwa sifa hizi pekee asingefaa kupuuzwa. Kama uongozi ungempa nafasi ya kusikilizwa mapema, huenda leo tusingekuwa tunazungumzia fedheha iliyotupata.

Aibu ya leo ni zao la wazi la kuvunjwa kwa Katiba ya chama chetu. Kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari hakikuwa cha haki.

Kuwaruhusu wapiga kura wasiokuwa wajumbe halali ni kwenda kinyume na Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 (toleo la 2019).

Hili halikuwa kosa la kutojua, ni matokeo ya dharau na ubishi wa kuzaliwa wa Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na rafiki yangu Heche.

Ushindi wa Mchome unaonesha kuwa ukweli haufi unaweza kupingwa, kupuuzwa, lakini mwisho wa siku hujitokeza kwa nguvu.

Nampongeza Kamanda Mchome kwa kusimamia ukweli, japo matokeo yake yameiacha CHADEMA kwenye hali ya aibu. Hili ni fundisho tosha juu ya thamani ya kuheshimu Katiba yetu na maoni ya watu wengine, Viongozi wetu sio Malaika kwamba hawawezi kusikiliza wengine.

Tulimdharau, tukamnyamazia, na sasa tumepata majibu yake, na kwa hali ya kifedha ilivyo na hama hama ya wanachama inayoendelea, ni wazi hatuna uwezo wa kuitisha Baraza Kuu kwa sasa.

Hii ni hali tuliyoijenga wenyewe, na sasa tunavuna tulichopanda. Tuikubali aibu hii, tujifunze, tusonge mbele kwa maarifa na nidhamu.

Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti sio cheo cha Malaika, ni cheo cha kuongoza na kusikiliza.
Kama hawafuati katiba ya chama chao hawezi kufuata katiba ya nchi wakishika dola.Watanzania tuwakatae matapeli wa kisiasa
 
Swali ni je hao chadema walipewa nafasi ya kusikilizwa isije kuwa maamuzi ya upande mmoja!
 
Kupotezeana muda tu, uteuzi ata kama utarudiwa lisu akbanwi na sheeia yoyote kuteuwa watu walewale
 
Katiba ya chama lazima ifuatwe.
Hakuna aliyevunja katiba hizi sideshows tunazijua.

Chadema bado ipo sana , Magufuli aliyetaka kuiua alikufa na ameiacha kifupi watu hawana imani na ccm kwa sasa.
 
Kupotezeana muda tu, uteuzi ata kama utarudiwa lisu akbanwi na sheeia yoyote kuteuwa watu walewale
Msajili hajasema asiteue walewale kasema tu CHADEMA waitishe kikao cha baraza kuu ambacho akidi itatimia
Akidi ikitimia akateua walewale na baraza kuu likawapitishe atawakubali

Msajili hajasema popote kuwa asteue walewale
 
Mdogo wetu Lembrus Mchome ni zao halisi la CHADEMA amekulia ndani ya mfumo wa chama hiki, akitumikia nafasi mbalimbali ikiwemo Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro, Katibu wa Mwanga, na Mratibu msaidizi wa Mkoa.

Kwa sifa hizi pekee asingefaa kupuuzwa. Kama uongozi ungempa nafasi ya kusikilizwa mapema, huenda leo tusingekuwa tunazungumzia fedheha iliyotupata.

Aibu ya leo ni zao la wazi la kuvunjwa kwa Katiba ya chama chetu. Kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari hakikuwa cha haki.

Kuwaruhusu wapiga kura wasiokuwa wajumbe halali ni kwenda kinyume na Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 (toleo la 2019).

Hili halikuwa kosa la kutojua, ni matokeo ya dharau na ubishi wa kuzaliwa wa Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na rafiki yangu Heche.

Ushindi wa Mchome unaonesha kuwa ukweli haufi unaweza kupingwa, kupuuzwa, lakini mwisho wa siku hujitokeza kwa nguvu.

Nampongeza Kamanda Mchome kwa kusimamia ukweli, japo matokeo yake yameiacha CHADEMA kwenye hali ya aibu. Hili ni fundisho tosha juu ya thamani ya kuheshimu Katiba yetu na maoni ya watu wengine, Viongozi wetu sio Malaika kwamba hawawezi kusikiliza wengine.

Tulimdharau, tukamnyamazia, na sasa tumepata majibu yake, na kwa hali ya kifedha ilivyo na hama hama ya wanachama inayoendelea, ni wazi hatuna uwezo wa kuitisha Baraza Kuu kwa sasa.

Hii ni hali tuliyoijenga wenyewe, na sasa tunavuna tulichopanda. Tuikubali aibu hii, tujifunze, tusonge mbele kwa maarifa na nidhamu.

Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti sio cheo cha Malaika, ni cheo cha kuongoza na kusikiliza.
Kabla ya kumsifia MCHOME na kushangilia tujiulize kwanza.
Katiba ya ccm ilifuatwa wakati wa kumpitisha samia?
 
Msajili hajasema asiteue walewale kasema tu CHADEMA waitishe kikao cha baraza kuu ambacho akidi itatimia
Akidi ikitimia akateua wakewale na baraza kuu likawapitishe atawakubali

Msajili hajasema popote kuwa asteue walewale
Msajili alihesabu idadi ya wajumbe kwa njia gani?
 
Msajili hajasema asiteue walewale kasema tu CHADEMA waitishe kikao cha baraza kuu ambacho akidi itatimia
Akidi ikitimia akateua wakewale na baraza kuu likawapitishe atawakubali

Msajili hajasema popote kuwa asteue walewale
Watu vichwa vigumu kuelewa.Msajili ana sistiza kufuata Sheria au taratibu
 
State sponsored sabotage against Chadema.

Kama wewe ni mkristo kama jina lako linavyosema soma habari ya Mfalme Sauli na Kijana Daudi

Mnachofanya CCM na hao wajinga wenu ni sawa na aliyokuwa anayafanya Mfalme Sauli dhidi ya Kijana Daudi. Uzuri mwisho alifeli vibaya na kusudi la Mungu lilitimia.

Hata hili mnalofanya litafeli kama ilivyofeli project yenu ya G55
Hapa tu ndipo ulipo udhaifu wa chadema; ujuaji mwingi na aina flani hv ya udini.
 
Back
Top Bottom