Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Lissu amekuwa akiongelewa kama mtu mwenye misimamo, aliyenyooka, na siyo rahisi kuyumbishwa. Yeye na Heche imekuwa pea moja ambayo inaendana kwa kwenye misamamo na njia zao za kuongoza wote wakiongelea mabadiliko makubwa ndani ya chama na maeguzi kwenye siasa za Tanzania.
Baada ya ushindi wa Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti CHADEMA na Heche kama Makamu wake, inamaanisha upinzani utazidi kuimarika na kuongeza siasa safi nchini? CCM itaacha kuzembea na kuongeza nguvu kwenye kuongeza ubora wa huduma ili kuendelea kubaki madarakani?
Mchuano wa Uchaguzi Mkuu utakuwa moto na Samia kuhenyeshwa kwelikweli? Vipi ubande wa ubunge, unawaona upinzani wakipata viti vingi na kuwa na bunge lenye uwakilishi mkubwa pamoja na mchuano mkali hoja zitakapokuwa zinaletwa mezani?
Vipi ushiriki wa Watanzania kwenye masuala ya siasa? Tutegemee ushiriki mkubwa wa wananchi kwenye siasa na uchaguzi Mkuu?
Soma pia:

- Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti, Heche ashinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti
- Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu
- Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
- Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA