Ushindi wa Mayweather utata

Ushindi wa Mayweather utata

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
64
Muda si mrefu pambano la ngumi kati ya Flod Mayweather vs Manny Pacquiao limekwisha na mayweather kutawazwa mshindi. Kwenye vijiwe vingi watu wanasema mmarekani kabebwa. Wataalamu wa mchezo huu mtujuze
 
Kwa alieona hili pambano mwanzo mpaka mwisho ni wazi kabisa bila fitna ya kwamba
mayweather kapendelewa kwenye huu usshindi wake wa kimagumashi, pacquiao kamfumua
mayweather kama mtoto kitu kilichofanya mayweather awe kugeuza kona za ulingo maskani
yake, je unauchukuliaje ushindi wa mayweather?
 
Daaaah acha tusikie wataalam lakini ninavyojua kitu kinachoitwa mchezo mwenzio akishinda ndio hivyo kashinda tu,kila shabiki atasema lake lakini ushindi ni ushindi tu!!
 
Hata ukiingiziwa kichwa ndio tayari ush......wa!
 
Muda si mrefu pambano la ngumi kati ya Flod Mayweather vs Manny Pacquiao limekwisha na mayweather kutawazwa mshindi. Kwenye vijiwe vingi watu wanasema mmarekani kabebwa. Wataalamu wa mchezo huu mtujuze

tofautisha boxing na ngumi za kichina floyd kacheza na point tu
 
naungana nawe...jamaa katoa vtasa vy ajabu sn...yan uyo mayweeathr kappewa tuu...kuna mda akawa anakmbia kmbia tuuu uwanjan.... hii sio fair
 
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
 
Kwa alieona hili pambano mwanzo mpaka mwisho ni wazi kabisa bila fitna ya kwamba
mayweather kapendelewa kwenye huu usshindi wake wa kimagumashi, pacquiao kamfumua
mayweather kama mtoto kitu kilichofanya mayweather awe kugeuza kona za ulingo maskani
yake, je unauchukuliaje ushindi wa mayweather?

Mkuu lakini unajua point zinapatikana vipi kwenye nchezo wa ngumi?
 
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.

hizi sheria nyengine ni uzinguaji basi
 
naungana nawe...jamaa katoa vtasa vy ajabu sn...yan uyo mayweeathr kappewa tuu...kuna mda akawa anakmbia kmbia tuuu uwanjan.... hii sio fair

Kukimbia kimbia uwanjani hiyo ndo style yake.Cheki pambano lake na Maidana jamaa anakimbia kimbia tu lakini ndo anashinda.
 
After spending the whole night up waiting for the fight, I also just had a fight with sleep and guess what, it has also won by anonymous decision.

Let me dive into my bed now.
 
Back
Top Bottom