Muda si mrefu pambano la ngumi kati ya Flod Mayweather vs Manny Pacquiao limekwisha na mayweather kutawazwa mshindi. Kwenye vijiwe vingi watu wanasema mmarekani kabebwa. Wataalamu wa mchezo huu mtujuze
Kwa alieona hili pambano mwanzo mpaka mwisho ni wazi kabisa bila fitna ya kwamba
mayweather kapendelewa kwenye huu usshindi wake wa kimagumashi, pacquiao kamfumua
mayweather kama mtoto kitu kilichofanya mayweather awe kugeuza kona za ulingo maskani
yake, je unauchukuliaje ushindi wa mayweather?
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
naungana nawe...jamaa katoa vtasa vy ajabu sn...yan uyo mayweeathr kappewa tuu...kuna mda akawa anakmbia kmbia tuuu uwanjan.... hii sio fair