Ushindi wa Mayweather utata

Ngumu kumuelewa mayweather kama huangalii akili anayoitumia ulingoni,punch zake nyingi zinafika na ndio point ila yeye anajilinda mno,kama leo pacquiao karusha ngumi nyingi na kushambulia ila chache mno ndo zimempiha mayweather ila za mayweather nyingi zimetua na ameshinfa round nyingi kuliko pacquiao.



Ukiangalia juu juu utaona kabebwa ila kiutaalam huu ni ushindi wa waza kabida
 
Hiyo sheria mara nyingi huwa na utata kwani baadhi ya majaji huwa compromised na kupindisha matokeo.
 
Sheria nyingine huwaga za kikoloni kweli ilimradi kumkandamiza mtu
 
Manny Pacquiao:

It was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought I won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, I have fought bigger guys
 
Matapeli wakubwa upendeleo dhahili kabisa hata kwa asie jua sheria za ngumi lkn ndiyo hivyo majaji ndiyo wenye maamuzi ya mwisho
 
Sasa kule kukimbia uringoni kama mwanariadha mpaka anasahau kona yake,nako walikua wanampa point?
 
Mchezo haukufurahisha kwa kuwa wengi walitegemea pambano kali la kutwangana makonde mazito hadi kieleweke. Katika boxing mbinu ni nyingi za kushinda ikiwemo kutompatia mwenzako nafasi nyingi za kupiga kitu ambacho Mayweather alifanya na Manu hakupata mbinu ya kujibu. Mayweather ameshinda kihalali japo kwa style ambayo ni kinyume na matarajio wengi. Naona kidogo inafanana na Chelsea anavyosogelea ubingwa kwa mchezo usiovutia lakini wako strategic sana kuondoka na ushindi mdogo wa bao moja moja wakijua wanaekekea kutimiza lengo lao. Kufunga mabao mengi kwao sio la msingi. Ushindi mdogo unawapa point 3 na zinatosha kwa kuwa hawana mpinzani wa karibu wa points. Mi naona ni professionalism at its best. Mayweather na Morino are pure professionals and I admire that. We piga kelele zako wee wao wanatekeleza mikakati yao bila masihara.
 
nadhani hamuelewi kitu hapa,
Fahamu kwanza points zinapatikana vipi kwenye masumwi,
Pacquiao alikuwa anapiga blank nyingi sana
Maymoney alikuwa akipiga, kweli kapiga
 
Angalieni in slow motion ndio mtajua why Floyd had won
Team Mayweather
48-0
 
tunaomba kujuzwa zaidi sisi wengine hatujashuhudia pambano. kashinda kwa KO au round na ni round ya ngapi?

kwenye ngumi huu ushindi wa round unakuwaje mkuu??
 
Hapo n kamari tupu imechezwa hakuna lolote hakuna cha mbinu wala ujanja wowote mshindi alitakiwa kuwa Manny pacquio lakn kwa vile wenye Pesa zao wamecheza kamari bas majaja wakampa mywether tofaut na hapo jaji wasingetoka wakiwa hai
 

Firstly,siyo annonimous, ni Unanimous. Secondly,siyo kwa sababu mtu ana mkanda ndio untumia unanimous decision kumvua mkanda. Unanimous decision maana yake ni decision ya pamoja ya majaji walio kuwa wakijudge pambano. Decision nyingine inayoweza kutokea kwa majaji ni Split na Draw. Knock Out unaipata baada ya kumpa kichapo kikali mwenzio mpaka anasurrender.

Kwenye Unanimous decision ni Kwamba woote wametoa score on your favour i.e majaji woote wamekupa point za ushindi wewe. Na score haziko based kwenye kurusha ngumi nyiiiiingi bila mpango. Zinabase kwenye kurusha ngumi za maana kwenye uso wa mpinzani wako. Na hicho ndicho kimempa ushindi Floyd. Pacman alikuwa anarusha ngumi nyingi lakini nyingi zilikuwa hazimfikii mpinzani wake. Mayweather alikuwa anarusha kwa accuracy kubwa sana na kuzuia sana. Kifupi Pacman alikuwa anafanya kama Man Utd jana, Posession 80%, mpinzani wako anatumia nafasi muhimu anakutoa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…