shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Mgulwa umeongea sana tu ,ila kumbuka may hakwenda kufanya show game, na anamjua mpinzani wake sio wa kumpiga ko kirahisi, hivyo hata ile kumbatia yake ilikuwa mbinu ya kumuuzi tu pac. Na tukumbuke pac alijuwa anarusha ngumi nyingi sana, ila zinaishia kwenye gloves tu, may anarusha chache zinaingia kichwani kabisa, na pale kuna mitambo maalum ya kuhesabu points, hivyo hakuna upendeleo wowote. Kumbuka kuna kipindi pac alionyesha kuchoka kabisa, na alipotangazwa may kashinda, pac hakushangaa.