shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Anglia Hui mchanganuo.Kwa alieona hili pambano mwanzo mpaka mwisho ni wazi kabisa bila fitna ya kwamba
mayweather kapendelewa kwenye huu usshindi wake wa kimagumashi, pacquiao kamfumua
mayweather kama mtoto kitu kilichofanya mayweather awe kugeuza kona za ulingo maskani
yake, je unauchukuliaje ushindi wa mayweather?
Mgulwa umeongea sana tu ,ila kumbuka may hakwenda kufanya show game, na anamjua mpinzani wake sio wa kumpiga ko kirahisi, hivyo hata ile kumbatia yake ilikuwa mbinu ya kumuuzi tu pac. Na tukumbuke pac alijuwa anarusha ngumi nyingi sana, ila zinaishia kwenye gloves tu, may anarusha chache zinaingia kichwani kabisa, na pale kuna mitambo maalum ya kuhesabu points, hivyo hakuna upendeleo wowote. Kumbuka kuna kipindi pac alionyesha kuchoka kabisa, na alipotangazwa may kashinda, pac hakushangaa.
View attachment 248893Mgulwa umeongea sana tu ,ila kumbuka may hakwenda kufanya show game, na anamjua mpinzani wake sio wa kumpiga ko kirahisi, hivyo hata ile kumbatia yake ilikuwa mbinu ya kumuuzi tu pac. Na tukumbuke pac alijuwa anarusha ngumi nyingi sana, ila zinaishia kwenye gloves tu, may anarusha chache zinaingia kichwani kabisa, na pale kuna mitambo maalum ya kuhesabu points, hivyo hakuna upendeleo wowote. Kumbuka kuna kipindi pac alionyesha kuchoka kabisa, na alipotangazwa may kashinda, pac hakushangaa.
Yashaisha watu wameingiza mpunga wao.
Tugange yajayo. Kesho tuone dollar ni shi ngapi maana hawachelewi kusema hela zilienda kwa May baada ya ushindi
Nimemsikia Man Pac BBC amedai hajaridhika na matokeo, anaamini amepunch zaidi na nyingi zilikuwa on target, pia ataproduce DVD watu wajionee wenyewe.. mgulwa tusubiri arelease hiyo dvd yake afu tuwajie juu mateam may
Anglia Hui mchanganuo.
Yaani iko hivyo tu,
Kilichofanyika ulingoni na matokeo! ni tofauti!
Ila na wasi wasi wacheza kamari/watu wakubet wanaweza kua wamehusika ktk upangaji wa matokeo!
Nawaza mengi aseee!
Najaribu kumtetea may weather akilini ila bado nakosa sababu!
Wamemuonea sana PAC
Pac kafanya kazi kubwa..
Katupa nyingi..
Kamkong'ota nyingi!
Sioni hakika sioni ni wapi m.weather alimzidi Pac!
Ila wachambuzi wa mambo walisema!
Kwa thamani ya pambano lile,ushindi kwa pac ni kwa ko tu!
Kweli lisemwalo lipo!
Nimeshtushwa sana na takwimu za majaji!
Kama hawakuja nazo zile takwimu,
Basi wamechanganya
Points za m.weather kapewa PAC.
Points za PAC kapewa may.afu akaongezewa!
Wamemuonea sana! Hawana hata aibu!
Atoe iyo CD/DVD. Bt hata asipotoa,kila jicho lilioona pambano litakiri kweli PAC kadhurumiwa matokeo.
Mungu atajamlipa hata mbinguni!
da!:thumbdown:
Haya mambo na Mbingu yanahusika vipi? Acheni kuchanganya mafaili.
Sasa unadhani haki ataipata wapi?
Maana tunaongea tu ila hata tujaze dunia kwa maneno matokeo hayatabadilika!
Tunachofanya waungwana ni kumuachia mungu!
Ya kaisari mwachie kaisari.
Ya kaisari mwachie kaisari.
Na ya mungu apewe mungu..
Pac analielewa hili!