Ushindi wa mbinde dhidi ya Ihefu, lakini Mayele mmh

Ushindi wa mbinde dhidi ya Ihefu, lakini Mayele mmh

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kama ilivyokuwa kwa Azam na Simba, Yanga nao wamepata ushindi wa mbinde kwa Ihefu wa goli moja tu. Ikumbukwe kuwa ktk mechi za Azam v Ihefu na ile ya Simba v Ihefu zilizochezwa Dar es salaam zote ziliisha kwa matokeo kama hayo.

Kwa upande mwingine, idadi ya timu ambazo hazijafungwa na Mayele hapa nchini imepungua na kubaki mbili tu Prisons na Ruvu shooting. Hii ni baada ya kuwatungua Ihefu leo na kufikisha magoli 15.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20221224-071554_WhatsAppBusiness.jpg

Namna Yanga inavyozidi kujikita kileleni.

Picha ni Mlima Mbeya (Mbeya Peak)
 
Tuliwapa ahadi ya mil. 30 Ihefu kama wangeshinda ama mil. 10 kama wangetoa droo.
 
Back
Top Bottom