LGE2024 Ushindi wa Mgombea wa CHADEMA ambaye hakufanya Kampeni wala kuweka Wakala ni Ushahidi wa Uchaguzi Wa Haki

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Huyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa.

Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na Wananchi wakamchagua na kushinda licha ya kutoweka wakala Wala Hakufanya Kampeni maana hakujua hatima ya Rufaa yake.

View: https://www.instagram.com/p/DC9u_pxNrEr/?igsh=bnVzdnA2dzF3cXpy

My Take
Huu ni ushahidi tosha wa Haki na uswazi wa mchakato wa Uchaguzi licha ya Changamoto ndogo ndogo.

Machadema wacheni ujinga wenu mumeshindwa kihalali na kule mlikoweka watu makini Wananchi wamewachagua kama huyu bwana wa Hai.

View: https://www.instagram.com/reel/DC94nB8CQPt/?igsh=MTNnZDhpdTh0MjFubA==
 
Huyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa.

Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na Wananchi wakamchagua na kushinda licha ya kutoweka wakala Wala Hakufanya Kampeni maana hakujua hatima ya Rufaa yake.

View: https://x.com/MwananchiNews/status/1862550784723825025?t=ubuWd-A0CydciST8oxtxPA&s=19

My Take
Huu ni ushahidi tosha wa Haki na uswazi wa mchakato wa Uchaguzi licha ya Changamoto ndogo ndogo.

Machadema wacheni ujinga wenu mumeshindwa kihalali na kule mlikoweka watu makini Wananchi wamewachagua kama huyu bwana wa Hai.

Hata kama una ubongo wa Wanyama, ambaye alienguliwa amepigiwaje kura?

Na unajua kwanini ni Hai na si Mwanza au Mbeya?
 
Uwe unasoma na kuelewa wewe mpuuzi,alikata Rufaa Wilayani ambako inaonesha walitoka uamzi wa kumrudisha ila wakaficha kama mbinu za kumdhoofisha.

Basi mpigie simu umbishie maana ndio kaongea hayo.
 
Hata kama una ubongo wa Wanyama, ambaye alienguliwa amepigiwaje kura?

Na unajua kwanini ni Hai na si Mwanza au Mbeya?
Unajua kusoma na kuelewa ulichosoma?Rudia kusoma tafakari jaribu kuelewa ulichosoma halafu ndio urudi hapa kwa mara nyingine.
Na huyu nae anadai ni think tank wa Chadema!Halafu wakigaragazwa wanatafuta mchawi.Ni huzuni.
 
Huyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa.

Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na Wananchi wakamchagua na kushinda licha ya kutoweka wakala Wala Hakufanya Kampeni maana hakujua hatima ya Rufaa yake.

View: https://x.com/MwananchiNews/status/1862550784723825025?t=ubuWd-A0CydciST8oxtxPA&s=19

My Take
Huu ni ushahidi tosha wa Haki na uswazi wa mchakato wa Uchaguzi licha ya Changamoto ndogo ndogo.

Machadema wacheni ujinga wenu mumeshindwa kihalali na kule mlikoweka watu makini Wananchi wamewachagua kama huyu bwana wa Hai.

View: https://www.instagram.com/reel/DC9dqewKvrL/?igsh=MXI0dm83dGp3YmJtdA==

Soma zaidi elements za uchaguzi huru na wa kaki " free and fair election " halafu uje kumwaga ujinga wako hapa! Unafikiri uchaguzi ni kupiga kura tu na kutangaza mshindi na mshindwa baaasi
Wakati mwingine muwe mnaficha ujinga wenu.
Watu wameuwawa wewe hujui unakata mauno tu
 
Wewe fala,watu kuuwawa ndio kunafanya uchaguzi usiwe huru na Haki? Yaani wagombea muuane huko harafu uchaguzi uje kuwa sio huru? Pumbv
 
Chadema imeishajifia siku nyingi.
Kama imeshajifia !!Mauaji ya nini?Polisi wa nini?Dhuluma ya nini?

Ritz usifurahie Damu ya mwanaume mwenzako kumwagika ipo siku WATOTO wanaokula vizuri Leo kwasababu ya dhuluma watalipa hili.
 
Kwani wanaouana ni nani si ni wagombea wenyewe? Hujasikia mauaji ya Wana ccm ila umesimia ya wanachadema pekee? Wacha kuwa mjinga
 
Wewe ni mjinga wa mwisho usiyejua hata maana na misingi ya uchaguzi huru na wa haki. Unapuyanga tu. Uonekane nawewe ni mpiga mbinje?
Kwann idadi ya wapiga kura inapungua kila siku hujiulizi
 
Back
Top Bottom