LGE2024 Ushindi wa Mgombea wa CHADEMA ambaye hakufanya Kampeni wala kuweka Wakala ni Ushahidi wa Uchaguzi Wa Haki

LGE2024 Ushindi wa Mgombea wa CHADEMA ambaye hakufanya Kampeni wala kuweka Wakala ni Ushahidi wa Uchaguzi Wa Haki

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hakuna uchaguzi wowote duniani unakosa kasoro ndogo ndogo.Kwani kazi ya kusimamia uchaguzi inafanywa na wanadamu.Trump amelalamika kabla ya matokeo ya kura kutangazwa kwamba kura zake zimeibiwa huko Pennsylavania lakini alipotangazwa mshindi kelele zikaisha.Alikoswa koswa kuuwawa mara mbili.
Box za kuwekea kura zilichomwa huko Maryland na Seattle Washington. Na bado mshindi akapatikana na walioshindwa wakakubali kushindwa.
Vijiji na mitaa walioshinda Chadema kura zilisimaminiwa na nani?
You cannot eat your cake and have it too.
Ukishinda unashangalia ukigaragazwa kuna figisu.
You cannot have both ways.Ukishinda heshimu matokeo na ukishindwa heshimu matokeo.
Acha kejeli, hata kushangilia mnashindwa mnajua kilichofanyika
Acha ungese
 
Back
Top Bottom