The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Hata kama una ubongo wa Wanyama, ambaye alienguliwa amepigiwaje kura?Huyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa.
Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na Wananchi wakamchagua na kushinda licha ya kutoweka wakala Wala Hakufanya Kampeni maana hakujua hatima ya Rufaa yake.
View: https://x.com/MwananchiNews/status/1862550784723825025?t=ubuWd-A0CydciST8oxtxPA&s=19
My Take
Huu ni ushahidi tosha wa Haki na uswazi wa mchakato wa Uchaguzi licha ya Changamoto ndogo ndogo.
Machadema wacheni ujinga wenu mumeshindwa kihalali na kule mlikoweka watu makini Wananchi wamewachagua kama huyu bwana wa Hai.
Uwe unasoma na kuelewa wewe mpuuzi,alikata Rufaa Wilayani ambako inaonesha walitoka uamzi wa kumrudisha ila wakaficha kama mbinu za kumdhoofisha.Hata kama una ubongo wa Wanyama, ambaye alienguliwa amepigiwaje kura?
Na unajua kwanini ni Hai na si Mwanza au Mbeya?
Huyo Erythrocytes kichwa chake ni kigumu sana kuelewa na kwa sasa matokeo yamemchanganya sanaUwe unasoma na kuelewa wewe mpuuzi,alikata Rufaa Wilayani ambako inaonesha walitoka uamzi wa kumrudisha ila wakaficha kama mbinu za kumdhoofisha.
Basi mpigie simu umbishie maana ndio kaongea hayo.
Unajua kusoma na kuelewa ulichosoma?Rudia kusoma tafakari jaribu kuelewa ulichosoma halafu ndio urudi hapa kwa mara nyingine.Hata kama una ubongo wa Wanyama, ambaye alienguliwa amepigiwaje kura?
Na unajua kwanini ni Hai na si Mwanza au Mbeya?
Kwanini walimficha kwenye uchaguzi wa haki kama mnavyokenuliwa meno na makalla?Uwe unasoma na kuelewa wewe mpuuzi,alikata Rufaa Wilayani ambako inaonesha walitoka uamzi wa kumrudisha ila wakaficha kama mbinu za kumdhoofisha.
Basi mpigie simu umbishie maana ndio kaongea hayo.
inashindaje bila kampeni?Chadema imeishajifia siku nyingi.
Baada ya kumficha Haki imetendeka au haijatendeka?Kwanini walimficha kwenye uchaguzi wa haki kama mnavyokenuliwa meno na makalla?
Hapo ni wajibu wa mtu na sio Msaada wa Chama ndio maana huyu kashindainashindaje bila kampeni?
Soma zaidi elements za uchaguzi huru na wa kaki " free and fair election " halafu uje kumwaga ujinga wako hapa! Unafikiri uchaguzi ni kupiga kura tu na kutangaza mshindi na mshindwa baaasiHuyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa.
Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na Wananchi wakamchagua na kushinda licha ya kutoweka wakala Wala Hakufanya Kampeni maana hakujua hatima ya Rufaa yake.
View: https://x.com/MwananchiNews/status/1862550784723825025?t=ubuWd-A0CydciST8oxtxPA&s=19
My Take
Huu ni ushahidi tosha wa Haki na uswazi wa mchakato wa Uchaguzi licha ya Changamoto ndogo ndogo.
Machadema wacheni ujinga wenu mumeshindwa kihalali na kule mlikoweka watu makini Wananchi wamewachagua kama huyu bwana wa Hai.
View: https://www.instagram.com/reel/DC9dqewKvrL/?igsh=MXI0dm83dGp3YmJtdA==
Wewe fala,watu kuuwawa ndio kunafanya uchaguzi usiwe huru na Haki? Yaani wagombea muuane huko harafu uchaguzi uje kuwa sio huru? PumbvSoma zaidi elements za uchaguzi huru na wa kaki " free and fair election " halafu uje kumwaga ujinga wako hapa! Unafikiri uchaguzi ni kupiga kura tu na kutangaza mshindi na mshindwa baaasi
Wakati mwingine muwe mnaficha ujinga wenu.
Watu wameuwawa wewe hujui unakata mauno tu
Hujui hata maana ya uchaguzi huru na wa haki wewe upo kama busha tu. Botswana walikufa watu wangapi? Namibia wamekufa wangapi?Wewe fala,watu kuuwawa ndio kunafanya uchaguzi usiwe huru na Haki? Yaani wagombea muuane huko harafu uchaguzi uje kuwa sio huru? Pumbv
Kama imeshajifia !!Mauaji ya nini?Polisi wa nini?Dhuluma ya nini?Chadema imeishajifia siku nyingi.
Wewe nyumbu kauaneni huko ufipa , upuuzi wenu msisingizie wengine ๐๐Hujui hata maana ya uchaguzi huru na wa haki wewe upo kama busha tu. Botswana walikufa watu wangapi? Namibia wamekufa wangapi?
Kwani wanaouana ni nani si ni wagombea wenyewe? Hujasikia mauaji ya Wana ccm ila umesimia ya wanachadema pekee? Wacha kuwa mjingaKama imeshajifia !!Mauaji ya nini?Polisi wa nini?Dhuluma ya nini?
Ritz usifurahie Damu ya mwanaume mwenzako kumwagika ipo siku WATOTO wanaokula vizuri Leo kwasababu ya dhuluma watalipa hili.
Wewe ni mjinga wa mwisho usiyejua hata maana na misingi ya uchaguzi huru na wa haki. Unapuyanga tu. Uonekane nawewe ni mpiga mbinje?Kwani wanaouana ni nani si ni wagombea wenyewe? Hujasikia mauaji ya Wana ccm ila umesimia ya wanachadema pekee? Wacha kuwa mjinga
๐ฎWewe ni mjinga wa mwisho usiyejua hata maana na misingi ya uchaguzi huru na wa haki. Unapuyanga tu. Uonekane nawewe ni mpiga mbinje?
Kwann idadi ya wapiga kura inapungua kila siku hujiulizi