LGE2024 Ushindi wa Mgombea wa CHADEMA ambaye hakufanya Kampeni wala kuweka Wakala ni Ushahidi wa Uchaguzi Wa Haki

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hakuna uchaguzi wowote duniani unakosa kasoro ndogo ndogo.Kwani kazi ya kusimamia uchaguzi inafanywa na wanadamu.Trump amelalamika kabla ya matokeo ya kura kutangazwa kwamba kura zake zimeibiwa huko Pennsylavania lakini alipotangazwa mshindi kelele zikaisha.Alikoswa koswa kuuwawa mara mbili.
Box za kuwekea kura zilichomwa huko Maryland na Seattle Washington. Na bado mshindi akapatikana na walioshindwa wakakubali kushindwa.
Vijiji na mitaa walioshinda Chadema kura zilisimaminiwa na nani?
You cannot eat your cake and have it too.
Ukishinda unashangalia ukigaragazwa kuna figisu.
You cannot have both ways.Ukishinda heshimu matokeo na ukishindwa heshimu matokeo.
 
Uwe unasoma na kuelewa wewe mpuuzi,alikata Rufaa Wilayani ambako inaonesha walitoka uamzi wa kumrudisha ila wakaficha kama mbinu za kumdhoofisha.

Basi mpigie simu umbishie maana ndio kaongea hayo.
Kitendo Cha kuficha taarifa za rufaa yake, tayari indhihirisha namna mbali mbali za CCM kuhujumu zoezi la uchaguzi.
 
Usichokijua ni kwamba uchaguzi ni process/mchakato. Siyo tukio la siku moja. Ukiharibu jambo moja linapelekea kuharibu mengine yanayofuatia. Kwakuwa hujui wewe unashangilia matokeo ya mwisho.bila kuangalia mchakato mzima ulikuaje. Huu ndiyo upeo wako. Unafikiri kila mtu ni mjinga kama wewe???
 
Hiyo itakuwa ilifanyika kimkakati ili kuwahadaa wananchi wenye akili ndogo. Na hata hizo kura walimbandikia tu!!

Shetani anahangaika kuhalalisha uovu wake.
 
Uwe unasoma na kuelewa wewe mpuuzi,alikata Rufaa Wilayani ambako inaonesha walitoka uamzi wa kumrudisha ila wakaficha kama mbinu za kumdhoofisha.

Basi mpigie simu umbishie maana ndio kaongea hayo.
Kitendo Cha kuficha taarifa za rufaa yake, tayari indhihirisha namna mbali mbali za CCM kuhujumu zoezi la uchaguzi.
Hicho ndicho kichaka wachotumia watetea uovu kujifucha. Yaani uporaji wa wa kura na kunajisi zoezi la uchaguzi ufanyike, halafu waache maneno machache iwe ndo iwe kama point of reference. Akili hizo za kitoto wadanganywe wajinga au wenye umelewa finyu kama...
 
ChoiceVariable ushindi gani huo unaomaanisha na pia sample ya mtu mmoja kati ya irregularities zaidi ya 10 tulizoona katika video & picha utasemaje kulikuwa na uchaguzi achilia mbali uchaguzi huru na wa haki?
 
Maccm ni mashetani makubwa sana!
 
Tofauti na Kigoma wapi kwingine?
Video ya Dodoma hukuiona?
By the way si wagombea tuu wanaweza cheza dili na Baadhi ya wasimamizi wa Vituo Kwa kuwagonga
Kumbe kuna dili wewe umecheza dili ngapi?

Yani kumbe ndio maana mtu anatekwa hadi kuuwawa mnasema nj drama na kifo ni kifo.
,Sasa kwani Hilo swala ni Kila mahala?
Hakukua na uchaguzi that is a bitter pill to swallow.
 
Video ya Dodoma hukuiona?

Kumbe kuna dili wewe umecheza dili ngapi?

Yani kumbe ndio maana mtu anatekwa hadi kuuwawa mnasema nj drama na kifo ni kifo.

Hakukua na uchaguzi that is a bitter pill to swallow.
Sawa ndio mshapigwa za uso na hao waliochaguliwa wa Upinzani wametoka wapi?

Waambieni wajitie uone kama watakubari ujinga wenu.😁😁😁😁👇👇

View: https://youtu.be/fAe5SUZ_1JU?si=zfECP1jcqu9zuPWo
 
Demokrasia nchi ipi?
Hapa waliona kijiji kizima kinamtaka huyu na hakina ccm kabisa!
Kama walivyoshinda kwa 99%, wizi nao ulikuwa kwa 99%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…