Ushindi wa Sharifa Suleiman wa BAWACHA ya Chadema ni Ujumbe tosha kwa Lissu na Wafuasi wake kwamba Sera za Ubaguzi zimekataliwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kibaraka Lisu na kenge wengine kama kina Heche wamekuwa wakitoa na kueneza sera za ubaguzi dhidi ya Watanzania wanaotokea Zanzibar kwamba hawatakiwa kuwa Viongozi huku Bara .

Sasa kwenye Uchaguzi wa Baraza la Wanawake Chadema,Mshindi ni Sharifa Suleiman kutoka Zanzibar ambae amewabwaga wakiwemo wale wagombea wagombea waliokuwa wanaopigiwa chapua na kibaraka Lisu mfano Simba.

View: https://www.instagram.com/p/DE9QnaPof4P/?igsh=MTV3bG9rbXU1cnVseg==

My Take
Itoshe kusema uropokaji wa kibaraka Lisu na sera za ubaguzi umekataliwa rasmi kuanzia Chadomo Hadi Kwa Watanzania wa kawaida.

Bado zamu yake na Mwamba.

View: https://www.instagram.com/p/DE-Qg_INCNS/?igsh=dWpmMmF5MTMzNXdt
 
wewe mleta mada ni kibaraka wa Magufuli na ushindwe kabisa na roho yako mbaya dhidi ya Lissu pumbafu zako
Sijawahi kuwa kibaraka Bali shabiki wa Samia na ueleweke Mimi sio mwanachama wa Chama chochote cha siasa
 
Kitendo tu cha Simba kumzidi kura Suzan Kiwanga ilikua warning sign kwa Team Mbowe ikabidi hadi kiwanga amuongezee kura zake otherwise huyo Sharifa asingeshinda. Hivi huyo sharifa ndio aongoze mapambano ya katiba mpya na tume huru? Mbowe hayupo serious kabisa ni mara kumi hata Kiwanga ndio angeshinda.

Najaribu ku assume chadema ya 2025-30 yaani Mbowe, Wenje, sharifa!! Duh nitaachana tu na hiki chama.
 
Ameshawanyea hakuna maana tena
 
Kibaraka Lisu na kenge wengine kama kina Heche wamekuwa wakitoa na kueneza sera za ubaguzi dhidi ya Watanzania wanaotokea Zanzibar kwamba hawatakiwa kuwa Viongozi huku Bara .

Sasa kwenye Uchaguzi wa Baraza la Wanawake Chadema,Mshindi ni Sharifa Suleiman kutoka Zanzibar ambae amewabwaga wakiwemo wale wagombea wagombea waliokuwa wanaopigiwa chapua na kibaraka Lisu mfano Simba.

View: https://www.instagram.com/p/DE9QnaPof4P/?igsh=MTV3bG9rbXU1cnVseg==

My Take
Itoshe kusema uropokaji wa kibaraka Lisu na sera za ubaguzi umekataliwa rasmi kuanzia Chadomo Hadi Kwa Watanzania wa kawaida.

Bado zamu yake na Mwamba.

Kibaraka na mgombea wake wa BAWACHA wamepuuzwa wazi wazi kabisa bila chenga dah 🐒
 
Kitendo tu cha Simba kumzidi kura Suzan Kiwanga ilikua warning sign kwa Team Mbowe ikabidi hadi kiwanga amuongezee kura zake otherwise huyo Sharifa asingeshinda. Hivi huyo sharifa ndio aongoze mapambano ya katiba mpya na tume huru? Mbowe hayupo serious kabisa ni mara kumi hata Kiwanga ndio angeshinda.

Najaribu ku assume chadema ya 2025-30 yaani Mbowe, Wenje, sharifa!! Duh nitaachana tu na hiki chama.
Nyie watu mna kichaa! Mnamlaumu mbowe Kwa sababu ya demokrasia?
 
Kitendo tu cha Simba kumzidi kura Suzan Kiwanga ilikua warning sign kwa Team Mbowe ikabidi hadi kiwanga amuongezee kura zake otherwise huyo Sharifa asingeshinda. Hivi huyo sharifa ndio aongoze mapambano ya katiba mpya na tume huru? Mbowe hayupo serious kabisa ni mara kumi hata Kiwanga ndio angeshinda.

Najaribu ku assume chadema ya 2025-30 yaani Mbowe, Wenje, sharifa!! Duh nitaachana tu na hiki chama.
Asingekuwemo Suzan, Sharifa angeshinda awamu ya kwanza ya uchaguzi. Sharifa ameongoza vizuri tu Bawacha. Shida yenu mnadhani vurugu ndio ukakamavu. Sharifa amelala rumande akikitetea chama chake. Usimdharau. Ni shupavu sana na leo kaweka wazi kuwa ni Team Mbowe. Simba alikurupuka kutangaza allegiance yake.

Amandla...
 
Sharifa hamna kitu ni walamba asali wale wale tu. Simba hakua popular ila endorsement ya Lissu ndio ikampa momentum ila angekua strong candidate kama kina Aida basi angemuangusha huyo mzanzibari.

Ni hivi, huyo sharifa ni mara 10 hata angerudishwa mdee tu, she's a liability. Ni lazima tuwe na watu serious ili kuitoa CCM sio hawa walamba asali.
 
Hao ndio wanatakiwa kwenye jamii,nyie wakunja ndita tafuteni Dunia yenu.
 
Back
Top Bottom