Ushindi wa Sharifa Suleiman wa BAWACHA ya Chadema ni Ujumbe tosha kwa Lissu na Wafuasi wake kwamba Sera za Ubaguzi zimekataliwa

Ndivyo unavyosema. Si mlisema uchaguzi umeisha baada ya Lissu kum endorse Simba?
Nyie kila mtu asiyeabudu katika altare ya Lissu mnasema amelamba asali.

Amandla...
 
Machawa wa CCM mnashabikia ChademaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndivyo unavyosema. Si mlisema uchaguzi umeisha baada ya Lissu kum endorse Simba?
Nyie kila mtu asiyehudu katika altare ya Lissu mnasema amelamba asali.

Amandla...
Kama ndivyo basi CHADEMA wote ni walamba asali ila tu hawapata nafasi
 
Mbowe kapata 'backup '....

Retired Dr Matola PhD
 
Acha ujinga wako we binti. Huyo Lissu atabaki kuwa mwanachama wa kawaida. Na chama kitaendelea vzr bila shida. Akina Lissu na wenzake wanahasira na wamepanga kulipa visasi. Hatuhitaj watu kama hao aisee
 
Nadhani Mbowe anafahamu anachokihitaji na anapambana akipate.
 
Amewashinda watu wenu wapuuzi,Kila mnabiwa stori za mitandaoni haziwezi kuakisi uhalisia hamuelewi,ona Sasa πŸ˜†πŸ˜†
 
Sio wewe tu, chama kitakuwa kama UDP au TLP
 
Amewashinda watu wenu wapuuzi,Kila mnabiwa stori za mitandaoni haziwezi kuakisi uhalisia hamuelewi,ona Sasa πŸ˜†πŸ˜†
Timu mbowe ilikuwa inamuunga mkono Suzan Kiwanga. Na ameangukia pua vibaya sana.
Lisu atawanyoosha nyie machawa na sultani wenu
 
Wanawake wakishakukataa elewa fika kabisa kwamba umeshakwishaa.
 
Timu mbowe ilikuwa inamuunga mkono Suzan Kiwanga. Na ameangukia pua vibaya sana.
Lisu atawanyoosha nyie machawa na sultani wenu
Suzan kiwanga alikua na kura 100 dhidi ya Celestine aliyepata 116!! Kaangukaje vibaya? Halafu kwenye huu uchaguzi Sharifa Suleiman ndo alikua team Mbowe!! Yule Bi Simba aliona kiki ya Lissu itambeba matokeo yake?
 
Ra
Rangi za mbowe kuelekea kijani zinazidi kuonekana, haya endelea kumfurahisha bimkubwa
 
Mbowe akishinda hiki chama kinaenda kuwa kama CUF tu. Wananchi wengi wasioegemea upande wowote hawana imani na Mwenyekiti. Wengi hawatapiga kura au watawapa tu CCM kwa hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…