Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Kuna uchaguzi hauna rafu?
View: https://www.youtube.com/watch?v=bREztQFNu4U&t=618s
Aidan ni mfano wa vipaji vilivyopo Chadema. Angalieni pia rafu zilizokuwa zikichezwa na wapiga debe wa upande ule.
Amandla...
Kwa hiyo unataka zifumbiwe macho?Kuna uchaguzi hauna rafu?
Hata ukizikodoleamacho hazitokaa ziishe,kamuulize Trump vs BidenKwa hiyo unataka zifumbiwe macho?
Amandla...
Uhalifu wowote hauwezi kuisha lakini tuna wajib wa kupambana nao ili usiwe ndio kawaida. Walichofanya waliotaka Simba ashinde ulikuwa ni uhalifu.Hata ukizikodoleamacho hazitokaa ziishe,kamuulize Trump vs Biden
Stori,ni sawa na kupambana kuzuia upepo Kwa kikonoUhalifu wowote hauwezi kuisha lakini tuna wajib wa kupambana nao ili usiwe ndio kawaida. Walichofanya waliotaka Simba ashinde ulikuwa ni uhalifu.
Amandla...
Mjinga wewe unamshabikia mwanamkeSijawahi kuwa kibaraka Bali shabiki wa Samia na ueleweke Mimi sio mwanachama wa Chama chochote cha siasa
Ndio kwani nilishabikia mboo Yako ndio itanosaidia nini?Mjinga wewe unamshabikia mwanamke