Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kweli kabisa..... Kama utopolo wanavyoshinda home and away.Mara kadhaa Simba amefanya Vzr Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away...
RS Berkane alichukua ubingwa wa CAF Confederation Cup, lakini katika group stage, ugenini alifungwa mechi mbili na sare moja, na nyumbani akashinda zote tatu.Mara kadhaa Simba amefanya Vzr Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away.
Usiumize kichwa na utopolo mkuu watu wanaoenda airport kupokea wageni hawawezi wakawa na akili timamu.RS Berkane alichukua ubingwa wa CAF Confederation Cup, lakini katika group stage, ugenini alifungwa mechi mbili na sare moja, na nyumbani akashinda zote tatu. Simba akafanya kama RS Berkane, ugenini alifungwa mechi mbili na sare moja, na nyumbani akashinda zote tatu. Sasa kama timu yako ilikuwa haijashiriki group stage kwa muda mrefu, si rahisi kujua kumbe matokeo anayopata Simba ndio hayo hayo wanayopata wanaokuja kuwa mabingwa!
View attachment 2341684
Hata National al ahly na Mamelodi sundowns huwa wanashinda home tu. Hoja yako ni mfu.Mara kadhaa Simba amefanya vizuri Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away.
Sikumbuki Mpaka [emoji881] anafika Quarter Final Ya Caf Kama alishinda Mechi Zaidi Ya 2 Away, Nikumbusheni Wakuu [emoji120][emoji120]
[emoji881] Hana poor performance akicheza Nje ya Uwanja Wa Mkapa Kwa Mashindano ya Kimataifa.
Performance nzuri ya Team unashinda Home and Away pia
Niko Tayari kusahihishwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app