Ushindi wa Simba Katika Mechi za Home & Away

Ushindi wa Simba Katika Mechi za Home & Away

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Mara kadhaa Simba amefanya vizuri Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away.

Sikumbuki Mpaka [emoji881] anafika Quarter Final Ya Caf Kama alishinda Mechi Zaidi Ya 2 Away, Nikumbusheni Wakuu [emoji120][emoji120]

[emoji881] Hana poor performance akicheza Nje ya Uwanja Wa Mkapa Kwa Mashindano ya Kimataifa.

Performance nzuri ya Team unashinda Home and Away pia

Niko Tayari kusahihishwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Msimu uliopita pia sijui unaweza kunisaidia kutaja timu ambayo ilikuwa inashinda game nyingi za ugenini? Sababu nafikiri timu nyingi zina huo mchezo wa kwenda ugenini kutafuta draw au kufungwa goli chache.
 
Mara kadhaa Simba amefanya Vzr Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away...
Kweli kabisa..... Kama utopolo wanavyoshinda home and away.

Hivi unajua hakuna timu iliyowahi kucheza na Simba kimataifa ikashinda home and away?
Na timu hizo zimefika fainali au kuchukua ubingwa kabisa
 
Mara kadhaa Simba amefanya Vzr Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away.
RS Berkane alichukua ubingwa wa CAF Confederation Cup, lakini katika group stage, ugenini alifungwa mechi mbili na sare moja, na nyumbani akashinda zote tatu.

Simba akafanya kama RS Berkane, ugenini alifungwa mechi mbili na sare moja, na nyumbani akashinda zote tatu.

Sasa kama timu yako ilikuwa haijashiriki group stage kwa muda mrefu, si rahisi kujua kumbe matokeo anayopata Simba ndio hayo hayo wanayopata wanaokuja kuwa mabingwa!

1662014438993.png
 
Bora simba anashinda kwa mkapa wale beach kidimbwi iwe bara iwe pwani hawajawahi kushinda mechi yoyote ile ya kimataifa hata Somalia under 20 iliwatoa jasho
 
RS Berkane alichukua ubingwa wa CAF Confederation Cup, lakini katika group stage, ugenini alifungwa mechi mbili na sare moja, na nyumbani akashinda zote tatu. Simba akafanya kama RS Berkane, ugenini alifungwa mechi mbili na sare moja, na nyumbani akashinda zote tatu. Sasa kama timu yako ilikuwa haijashiriki group stage kwa muda mrefu, si rahisi kujua kumbe matokeo anayopata Simba ndio hayo hayo wanayopata wanaokuja kuwa mabingwa!

View attachment 2341684
Usiumize kichwa na utopolo mkuu watu wanaoenda airport kupokea wageni hawawezi wakawa na akili timamu.
 
Mara kadhaa Simba amefanya vizuri Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away.

Sikumbuki Mpaka [emoji881] anafika Quarter Final Ya Caf Kama alishinda Mechi Zaidi Ya 2 Away, Nikumbusheni Wakuu [emoji120][emoji120]

[emoji881] Hana poor performance akicheza Nje ya Uwanja Wa Mkapa Kwa Mashindano ya Kimataifa.

Performance nzuri ya Team unashinda Home and Away pia

Niko Tayari kusahihishwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata National al ahly na Mamelodi sundowns huwa wanashinda home tu. Hoja yako ni mfu.
 
Back
Top Bottom