fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
ni uwezo tu.sijajua ni kitu gani,lakini ukweli ni kuwa kuna kitu sio cha kawaida ndio kimefanya simba kushinda magoli 7
7×5,000,000 = 35,000,000Kuna kitu?View attachment 2557251
Hahahahaha ahadi ni deni7×5,000,000 = 35,000,000
Ila Horoya sio timu hata Malimao Fc wanawafungaHahahahaha ahadi ni deni
Sema Nini, Yanga Leo watataseka saàna sanaIla Horoya sio timu hata Malimao Fc wanawafunga
Leo tumbo Moto yaan 2 haikai 1 haikai wanga washaloga toka Jana wanasema mmoja lazima abaki km sio Simba basi Yanga sasa Simba kapenya Yanga hana chake ishaandikwa hivyoSema Nini, Yanga Leo watataseka saàna sana
35,000,000Kieleze icho kitu basi 😂
makipa walikuwepoInasemekana hakukuwa na kipa
sidhani kama ni uwezo,maana ni simba hii hii kwenye mechi za ligi ama hu droo au kushinda kwa taabu,sasa huo uwezo huwa uko wapi?ni uwezo tu.
hapana sio roho mbaya nimesema kweli tu,kwani huu uwezo ulikuwa wapi wakati walipofungwa moja na horoyaLakini kushindwa kwa Simba huwaga hakuna kitu???Acha roho mbaya huwaga haijengi,,utaja kufa kwa kihoro shauri yako!!!
ndio tena si cha kawaidaKuna kitu?View attachment 2557251
hiyo ni sawa wamepata7×5,000,000 = 35,000,000
Kitu hicho umekiona lakini wamecheua 35 Million Gwason Msigwa
pole sana,soma nilichoandikabna utafakari utapata jibuTuache makasiriko, I can see a damn fool commenting on a damn fool rubbish thread
yangu machoLeo tumbo Moto yaan 2 haikai 1 haikai wanga washaloga toka Jana wanasema mmoja lazima abaki km sio Simba basi Yanga sasa Simba kapenya Yanga hana chake ishaandikwa hivyo