Ushindi wa Simba sio kawaida, kuna kitu

Ushindi wa Simba sio kawaida, kuna kitu

Timu timamu kuna muda magoli yamefika 3 tu kama hakuna uwezekano unabaki basi kuzuia aibu
Yaani hata zalan kuna muda walizuia tu
 
Utajiuliza simba akiwa na mechi ya kimaamuzi away ndiyo utagundua kitu.
 
Uzuri Simba kwny magoli wakiamua kuyafungulia na Mungu huko juu huwa anabariki tuu...unaweza
Kuchezea magoli 20 bila kujitambua
 
Na bado mtahara sana kimaandishi mpk muite maji mmaaa
 
Msijisahaulishe.

Mbona Yanga iliwahi kuifunga Zalan 7-0 kwenye round ya awali msimu huu huu!.

Na Mayele alipiga hat trick murua tu.
Sio ktk hatua ya makundi tena CL.

hebu kuwa muelewaaa, mssssiiiieeeeew
 
Uzuri Simba kwny magoli wakiamua kuyafungulia na Mungu huko juu huwa anabariki tuu...unaweza
Kuchezea magoli 20 bila kujitambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom