Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Horoya sio Zalan na Simba sio Yanga na haya ni makundi na sio shirikishoSijajua ni kitu gani, lakini ukweli ni kuwa kuna kitu sio cha kawaida ndio kimefanya simba kushinda magoli 7.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Horoya sio Zalan na Simba sio Yanga na haya ni makundi na sio shirikishoSijajua ni kitu gani, lakini ukweli ni kuwa kuna kitu sio cha kawaida ndio kimefanya simba kushinda magoli 7.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu?View attachment 2557251
Sio ktk hatua ya makundi tena CL.Msijisahaulishe.
Mbona Yanga iliwahi kuifunga Zalan 7-0 kwenye round ya awali msimu huu huu!.
Na Mayele alipiga hat trick murua tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri Simba kwny magoli wakiamua kuyafungulia na Mungu huko juu huwa anabariki tuu...unaweza
Kuchezea magoli 20 bila kujitambua