si alienda kusaidia, au ilikuwa shopping ya mwisho. Watu wanajua kuoteaKwa hiyo unatutuma nakala tumfikishie Samia?
USA sio omba omba, bali ni jambazi. Uliza Libya, Iraq, Venezuela na wengine wote waliokataa kula pamoja US kwenye utajiri wa mafuta, uliza kilichowakuta..Ushindi wa Trump unaenda kua mwiba kwa hawa viongozi wa Africa wanaopenda kutembeza bakuli kuomba omba. Naona sasa dawa imepatikana. Hao mnaowatembezea bakuli na kila kukicha kwenda nchini kwao walisacrifice kwa ajili ya nchi zao mpaka leo zipo kama mnavoziona. Hawakusacrifice kwa ajili ya matumbo yao na familia zao. Mda si mrefu omba omba wataanza kulia Trump anawadhalilisha 😂
Wajiandae wajitathimini alishaona zamani kuwa wanastahili kuwa makoloni kwa mara nyingine,ili waweze kujiongoza wenyewe na kuwaongoza watu wao.Ushindi wa Trump unaenda kua mwiba kwa hawa viongozi wa Africa wanaopenda kutembeza bakuli kuomba omba. Naona sasa dawa imepatikana. Hao mnaowatembezea bakuli na kila kukicha kwenda nchini kwao walisacrifice kwa ajili ya nchi zao mpaka leo zipo kama mnavoziona. Hawakusacrifice kwa ajili ya matumbo yao na familia zao. Mda si mrefu omba omba wataanza kulia Trump anawadhalilisha 😂