Ushindi wa Trump unaenda kua mwiba kwa hawa viongozi wa Africa wanaopenda kutembeza bakuli kuomba omba. Naona sasa dawa imepatikana.
Hao mnaowatembezea bakuli na kila kukicha kwenda nchini kwao walisacrifice kwa ajili ya nchi zao mpaka leo zipo kama mnavoziona.
Hawakusacrifice kwa ajili ya matumbo yao na familia zao. Mda si mrefu omba omba wataanza kulia Trump anawadhalilisha 😂