chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.
Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.
Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.
Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.