Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli, sidhani hata girl friend unaeHapana Mkuu, hata familia ya kuongoza sina
ila approach zinatofautianaMsijidanganye - sera za marekani kuhusu demokrasia Duniani kote ni zilezile.
City Hall?Huyu Trump si ndio alituitaga sisi eti ni Siti hole ??!
Akaendelea kusema Eti kazi yetu sisi ni kulalamika lalamika tu ila kuchukua maamuzi eti ni Zero kabisa 😅😳🙄
Jamaa ana matusi ya kirejareja sana huyu Mzee !
Ngoja Tusubiri tuone this time atatufananishaje 🙄!
Shit-hole kwa kiswahili kizuri ni Shimo lisilo na uelekeoHuyu Trump si ndio alituitaga sisi eti ni Siti hole ??!
Akaendelea kusema Eti kazi yetu sisi ni kulalamika lalamika tu ila kuchukua maamuzi eti ni Zero kabisa 😅😳🙄
Jamaa ana matusi ya kirejareja sana huyu Mzee !
Ngoja Tusubiri tuone this time atatufananishaje 🙄!
ushindi wa D.Trump ni pigo kwa bashite na ccmSasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.
Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.
Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.
Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
Inategemea connection ni ya kichama ama ni zaidi ya kichama? "mules" hawana "suti" maalumu!alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani
Sio kwel upo kwenye system sio bure😂Hapana Mkuu, hata familia ya kuongoza sina
Kwani Balozi anawakilisha chama au Serikali?! Au unaongelea Balozi wa nyumba 10?Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.
Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.
Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.
Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
🤣🤣🤣🤣🤣Mnawaza nini wadau??
Akili ndogo kama hizi? Kwani huwa mnawaza nn hadi kuandika matapishi hayaSasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.
Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.
Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.
Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
Unamaanisha Jahazi fuata upepo?Sugu au Jahazi?