Ushindi wa Trump pigo kwa Sugu, balozi wa Marekani Tanzania kung'olewa. Ni yule aliyeingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Msijidanganye - sera za marekani kuhusu demokrasia Duniani kote ni zilezile.
 
City Hall?
 
Shit-hole kwa kiswahili kizuri ni Shimo lisilo na uelekeo
 
ushindi wa D.Trump ni pigo kwa bashite na ccm
 
alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani
Inategemea connection ni ya kichama ama ni zaidi ya kichama? "mules" hawana "suti" maalumu!
 
Kwani Balozi anawakilisha chama au Serikali?! Au unaongelea Balozi wa nyumba 10?
 
Kwani Balozi anawakilisha chama au Serikali?! Au unaongelea Balozi wa nyumba 10?
Balozi ni kamisaa wa kisiasa, angalia hata Tanzania, akiingia Rais Mpya, huwa anaondoa mabalozi takribani wote waliowekwa na mtangulizi wake
 
Mamayo ameshindwa kufanya jiji liwe na maji ya uhakika ila una hangaika na Sugu?

Mavi matupu
 
Tueleze kwanza sera ya mambo ya nje ya marekani kwa Tanzania na vipaumbele vyake...
 
Akili ndogo kama hizi? Kwani huwa mnawaza nn hadi kuandika matapishi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…