Sikonge,
..wasiwasi wangu ni kwamba kauli mbiu ya kampeni ya Slaa ni vita dhidi ya ufisadi na mafisadi.
..sasa hii kura ya maoni ya ccm inatuelekeza kwamba wananchi hawako interested na kuwaondoa mafisadi. they simply can not connect the dots kati ya ufisadi na uduni wa maisha yao.
..sisemi kwamba Chadema nao waukumbatie ufisadi, lakini ili kupata nafasi ya kuunda serikali na kuutokomeza ufisadi, labda Chadema wanapaswa kuifikiria upya kauli mbiu ya kampeni zao.
Ruska kuota ndoto za mchana.Huyu akija Slaa atafungwa tu. Hii itakuwa pamoja na watu kama Lowassa, RA, Chenge Et el.
Hili lisikupe shida. Badala ya kutumia panga, tumia SHOKA.
Ruska kuota ndoto za mchana.
Mkuu Joka KUU
Warombo walichokiangalia jamaa kafanya nini, naamini kilichowasukuma wamkubali ni Barabara ya lami aliyowajengea. na inavyoelekea wafanyabiashara wengi wa huko aliwatoa saana kipindi alipokuwa anaitafuna national cake, Hii ndo iliyochangia watu wamkubali. Nilichojifunza watu wa huko wanaangalia saana mtu kawafnayia nini Ufisadi sio issue hata kidogo,, Si umeona hata KIMARO wa Vunjo japo alikuwa ni kinara wa kupinga ufisadi lakini jimboni hakufanya lolote si umeona wamentosa??? usishangae wapiga kura wa Vunjo wakamchangua Mrema wa TLP kisa alipokuwa waziri wa mambo ya ndani aliwakatanza na kuwafunga wanaume waliokuwa wanapiga wake zao
Elimu kwa raia bado ni jukulu la kila mzalendo kuwaelimisha wananchi juu ya ufisadi na hawa mafisadi
jokaKuu,
Ukipanga vizuri sera na kuelezea wananchi madhara ya ufisadi kwa maendeleo yetu utasikilizwa.
Inajionyesha wazi na nembo yako ya CCM jinsi unavyowashabikia mafisadi. Lakini hio si ajabu, kwa sababu CCM ya siku hizi imesimama juu ya nguzo za ufisadi. Hujui kuwa ndoto zinakuwa kweli? Hasa zikiwa na misingi ya ukweli? Hakika siku ya mafisadi kuona chao inakuja, wameshaona hiyo na matumbo yao moto.Ruska kuota ndoto za mchana.
fisadi makini na fisadi hovyo? hivi kweli wewe una shingo ya kubeba kichwa chenye ubongo.Hili la Mramba pia limetokea kwa Rostam, inawezekana wananchi wa sehemu husika wakawa sehemu ya mafao ya Ufisadi, maana unaweza kuwa fisadi Makini au Fisadi hovyo. sasa Rostam na Mramba wanaweza kuwa Mafisadi Makini, kwamba wanafisadi Mapato ya Watanzania lakini pia wanatumia sehemu ya pesa hizo hizo kuendeleza maeneo wanakotoka, kwa maana ya kujijenga zaidi kwa wapiga kura wao. just my opinion
fisadi makini na fisadi hovyo? hivi kweli wewe una shingo ya kubeba kichwa chenye ubongo.
Huyu akija Slaa atafungwa tu. Hii itakuwa pamoja na watu kama Lowassa, RA, Chenge Et el.