Ushindi wa USM ALGER ndiyo furaha pekee iliyobaki kwa mashabiki wa Simba sc

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mtani Hana uzalendo na wanautakia Yanga ushindi kwa shingo upande huku moyoni mwao kumejaa makando kando (chuki ) maana mashabiki wa Simba wanatambua Yanga akichukua kombe itakua kelo kwao.

Na ukizingatia kuwa katika kabati lao hakuna hata kikombe Cha uji.

Yanga itakapo mpiga mwarabu itakua imevuruga furaha yote ya Wana simba.

Endeleeni kuomba mvua jangwani lakini tambueni kuwa Dua la mwewe halimpati kuku.

Why not us"? Kila la heri mwananchi katika mbio za kuwania taji la Africa.
 
Una mawazo mgando sana..mimi simba ila leo nashangilia timu ya watanzania wenzangu Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…