NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mtani Hana uzalendo na wanautakia Yanga ushindi kwa shingo upande huku moyoni mwao kumejaa makando kando (chuki ) maana mashabiki wa Simba wanatambua Yanga akichukua kombe itakua kelo kwao.
Na ukizingatia kuwa katika kabati lao hakuna hata kikombe Cha uji.
Yanga itakapo mpiga mwarabu itakua imevuruga furaha yote ya Wana simba.
Endeleeni kuomba mvua jangwani lakini tambueni kuwa Dua la mwewe halimpati kuku.
Why not us"? Kila la heri mwananchi katika mbio za kuwania taji la Africa.