Tukumbuke kuwa ingawa Ulaya na Marekani na Canada pamoja na washirika wao Australia, New Zealand na Japan ni Democracy, bado kumekuwa na vyama vya kisoshalist, liberals na green parties (vyama kama Democrat-USA, Labourzystów-UK, République en Marche party/Renaissance cha Emmanuel Macron, SDP cha Olaf Scholt) ambavyo kwa pamoja hupingana na conservative parties and Far Right parties. Vijana wengi ktk siku za karibuni Kutokana na hulka ya binadamu kutaka awe Huru kujiamuria mambo yake pamoja na sense of justice wamekuwa wakishabikia vyama kiliberal na kisoshalist.
Siasa za waliberal na wasoshialists wa nchi za magharibi zimeruhusu wahamiaji wengi. Waislam wakiongozwa na idiology yao ya muslim brotherhood ya kuislamize the world waka take hiyo advantage na kuvamia kwa wingi nchi hizo. Aidha, niwakumbushe tena kuwa waislam duniani kote wanawatanguliza maskini wa watu wapalestina ktk Agenda yao ya Islamization of the world.
Hivyo tukio la karibuni la kuvamia Israel tena ndani kabisa liliwapa imani kuwa the victory is very near; walishangilia. Kibao kilivyobadilika lakini wao wakiwa na uhakika kuwa kazi kubwa wameisha ifanya ku infiltrate mfumo wa kisiasa wa nchi za magharibi na vile vile wakisaidiwa na Qatar wamefanikiwa to indoctrinate vijana wa kimagharibi, waliamua kuliamsha huko Nchi za Ulaya, marekani, Australia na hata tumeshuhudia kule Japani maandamano ya kuunga mkono Hamas.
Ninachoweza sema nikuwa Shetani ni mjanja mjanja lakini Hekima ya Mungu wa Kweli wa Biblia haina Kifani.
Waislam na ujanja wao wote, hiyo vurugu waliyoianzisha, wamehahi sana. Matokeo yake tumeanza kuyaona
Kule Netherlands, chama cha Mrengo wa kulia cha Geert Wilders kikashinda uchaguzi. Moto huo huo umedhihirika wakati wa chaguzi za Wabunge wa Bunge la Ulaya.
1. Kule Ufaransa chama cha Marine Le Pen kimeshinda kwa kishindo.
2. Vyama vya Mrengo wa kulia kutia ndani chama cha Alternative for Germany (AFD) vimechukua nafasi ya kwanza na pili
3. Belgium Right wing party kimeshinda, huku chama tawala, Liberal party kikiambulia only 5% na kiongozi wake kajiuzuru
4. Spain, Right wing party kimeshinda
5. Italy Right wing party cha Georgia Melon kimeshinda
6. Austria right wing party
7. Poland , Greece, Ireland
Kule ufaransa baada ya chama cha Emmanuel Macron kushindwa vibaya, Rais huyo nafikiri kwa kuchanganyikiwa, ametangaza kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi wa Wabunge. Uchaguzi huo hautapelekea kuwa na Rais badala yake Utaamua nani Anakuwa Waziri Mkuu.
Niwakumbushe wale wahenga kuwa maamuzi kama hayo aliyafanya David Cameron wa UK. UK walikuwa wanachama wa EU wa pembeni tu hata ilipelekea UK PEKEE NDIYO HAIKUWA INATUMIA SARAFU YA EURO.
Hata kulikuwa na Shinikizo kubwa ambalo pia liliungwa mkono na Nyama vya Labour, Liberal Democrat na SNP cha Scotland kuwa UK IJIUNGE MOJA KWA MOJA NA EU. Chama cha Cameron kuli kuwa na Msimbano wa kujitoa moja kwa moja, lakini walikuwa wanapiga chenga kuitisha kura ya maoni kwani walijua hatatoboa.
Ghafla Cameron na Baadhi ya viongozi wa Conservative wakabadili mawazo yaani wakaona ni bora UK ibaki kwenye EU. Cameron akaungana na Labour. Ili avunje mzizi wa Fitna kati yake na wenzie waliowengi ndani ya chama akaitisha uchaguzi wa kura ya maoni; matokeo ndiyo haya leo (Brexit) na Cameron akajiuzulu.
The same is going to happen with Macron. Anaenda kubadili siasa za Ufaransa, Right Wing ya Marine Le Pen is gonna take control, Je nini kitawapata waislam?
At the same time November is coming so fast. The win for Donald Trump is looming so large. Katiba ya US, inamruhusu kugombea hata kama mahakama, huu mwezi July itamuhukumu kifungo. Nini kitawapata waislam?
Kwa yote haya yanayotokea, mm naona civil war is immenent, kati ya patriots and muslims in those countries; we are entering into uncharted era. Kitaelewekaje?
Serikali zote duniani zitafikia mkataa kuwa hizi Dini hazitusaidii kitu kwenye ustawi wa binadamu hivyo piga marufuku. Jambo hilo kwa nchi za Kiarabu kutoa Iran haitakuwa gumu kutekeleza! Kwani nchi kama Saudia, UAE na Egypt wameisha choshwa na Siasa za Muslim Brotherhood. Urusi na China Kwao upigaji marufuku Dini ni jambo la kawaida tu.
Nchi pekee ambazo bado zinaogopa, na hii ni kwa sababu ya kuwaogopa WAISLAM NI NCHI ZA MAGHARIBI. Kufuatacho kitatushangaza sana; muongo huu wa 2020-2030 tutashuhudia mengi