Ushindi wa Yanga na kushindwa kwa Simba: Ubishi umefika mwisho, Yanga ni wa kimataifa!

Ushindi wa Yanga na kushindwa kwa Simba: Ubishi umefika mwisho, Yanga ni wa kimataifa!

Simba wamezingua sana.

Watakosa mapato ya jezi maana watu hawatanunua
Watakosa viingilio maana watu hawataingia
Mikataba ya makampuni itapungua.

Dharau kule Msumbiji ndio sababu ya Simba kufungwa.

Simba haikuwa na sababu ya kuchukua wachezaji wa Yanga,Wabrazil
Umewaona wabrazil wakicheza, udhaifu wao upo wapi. Katika watu wanaoshabikia mpira na kuupenda ni asilimia 1% tu ndio wanaoujua. Source (Mimi 2019).
 
Mbona ndio kwanza Yanga wamefuzu kuingia raundi ya kwanza. Petro, ni vizuri kuvuta subra, by the end of September, time will tell and you will need not to tell us kwamba Yanga ni wa kimataifa.

Halafu kumbuka Yanga walibebwa na mbeleko ya Simba na waliowabeba wamechomolewa. Swali ni kuwa; Yanga nao wataendelea kutubeba?

Vv
 
Simba na Yanga walikuwemo kwenye michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Wote walianza kwenye hatua ya kwanza kwa kupepetena na timu za Msumbiji na Botswana.

Mechi za awali zilishuhudia Simba na Yanga zikipata suluhu na sare. Simba ilipata suluhu ugenini na Yanga ikapata sare nyumbani.

Yanga, wakithibitisha kuwa wao ni wa kimataifa, walipata ushindi wa bao moja huko Botswana. Wakasonga mbele. Simba, wakiwa nyumbani Taifa,waliambulia sare ya moja kwa noja na kufurushwa mashindanoni.

Hadi hapo, Yanga ndiyo wa kimataifa. Simba hubebwa na mashabiki wa Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Hata kuwazomea huwafanya kuchachamaa. Kuwepo mashindanoni wote, ni kumaliza ubishi.

Yanga wamedhihirisha kuwa wao ni zaidi ya Simba kwenye uga wa kimataifa. Pole ni sana Simba, ni zamu yetu Yanga kuwabeba mwaka huu!
"ni zamu yetu Yanga kuwabeba mwaka huu"! wewe ni muungwana sana,umekili kuwa Simba tuliwabeba.Ila mtajibeba wenyewe,Simba itaenda kwa tiketi ya ubingwa wa ligi kuu.
 
Yanga mkibeba Timu zaidi alizobeba Simba, hapo mtapata uhalali japo wa nusu saa wa kuitwa Wa kimataifa
Ni sahihi kusema kwamba Simba imechangia Tanzania kuingiza timu nne mwaka huu kwenye mashindano ya CAF. Ni sahihi, labda kama wengine hawafahamu, kwamba Yanga imechangia kuingiza timu nne mwaka huu. Yaani kama si hatua iliyokuwa imefikiwa na Yanga kwenye miaka yake mitatu ya ushiriki wa mashindano ya CAF, kufika robo fainali kwa Simba pekee kusingetosha Tanzania kuingiza timu nne.
 
Simba wamezingua sana.

Watakosa mapato ya jezi maana watu hawatanunua
Watakosa viingilio maana watu hawataingia
Mikataba ya makampuni itapungua.

Dharau kule Msumbiji ndio sababu ya Simba kufungwa.

Simba haikuwa na sababu ya kuchukua wachezaji wa Yanga,Wabrazil
Simba alibeba wachezaji wa yanga ili kuwakomesha yanga kumbe kalamba magaharasa
 
Huu ni uzi mahsusi kwa ajili ya watani zetu Simba!
5imba ni mama wa nyumbani na nitakueleza kwa nini hata kabla hujaniuliza.

5imba, haijawahi kuiwakilisha Tanzania nje ya ardhi ya Tanzania kwa mafanikio. Kwa mfano, kwenye lile kombe la Musonye, 5imba ndio imelibeba mara nyingi zaidi, lkn nasikita kukutaarifu kuwa, HAWAJAWAHI KUFANYA HIVYO NJE YA ARDHI YA TANZANIA. Wao ukiwatoa hapa ni kupigwa 5 tu ndio wanamudu, lkn Yanga kashafanya ubabe NJE YA MIPAKA twice.

Hitimisho ni kuwa Yanga ndio wa Kimataifa. Hutu tukelele twa msimu uliopita ni upepo tu, nikukumbushe kuwa walikaa benchi miaka 5 mfululizo ndege wanaisikia tu. Na hata ukirudi hapa nyumbani, kwa taarifa yako, YANGA imebeba ubingwa wa ligi zaidi ya MANCHESTER UNITED, hili hata ukinisimamisha mahakamani nitarudia kama nilivyosema

Kinachowafanya kupigapiga kelele kwa sasa ni kale tu ka uwezo ka kufanya miamala ya togopesa kwa waamuzi ili mechi ziishe kama ile ya KMC msimu uliopita.
 
Write your reply...mpaka sasa wanaume tumesonga mbele

huku mbumbumbu FC wakifanikiwa kusonga UGALI..
 
Back
Top Bottom