Ushiriki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha malori na tipa

Joined
Apr 11, 2024
Posts
24
Reaction score
55
09/Mei/2024

Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.

Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.

Ulikuwa Wakati Mzuri โœ๏ธ.

NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi ๐Ÿ™Œ Bado Mmeupiga Mwingi ๐Ÿ‘

Naomba Kuwasilisha. โœ๏ธ
#KaziIendelee

 
Takataka nyingine hii, umeshiriki so what? Magufuli aliharibu sana utumishi wa umma kwa kuokota okota vijana wenye kujipendekeza kusifia mitandaoni na kuwateua kwenye utumishi wa umma. Amefanya sasa mavijana ya hovyo kutaka yaonekane yapate teuzi na hivyo kudidimiza fikra.
 
Takataka nyingine hii, umeshiriki so what? Magufuli aliharibu sana utumishi wa umma kwa kuokota okota vijana wenye kujipendekeza kusifia mitandaoni na kuwateua kwenye utumishi wa umma. Amefanya sasa mavijana ya hovyo kutaka yaonekane yapate teuzi na hivyo kudidimiza fikra.
 
Punguza kuchamba. Acha vijana wenzako nao watafute fursa.
 
Wee Binti umeolewa?
 
Hongera sana.......unauza sana pia...hongera pia
 
Hawa huwa ni mboga za wakubwa
 
Naona umepaniki kana kwamba umetoka kujifukiza bangi huku ukishushia na gongo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ .ukiwa na msongo wa mawazo jizuie kuandika na siyo kuja humu jukwaani kurukia watu kama mgonjwa
 
Pisi kali. Ila huku hatuna hizo pigo. Ungepost bila kujipost, hoja zako ndizo zitakusimamia. Kila la kheri.
 
Muwe mnaangalia na mavazi ya kuvaa kwenye occasion kama hizo, unavaa kama mdangangaji wakati tunategemea uwe future leader wa taifa. Hapo hata kama unaonekana, profile yako inaanza kuwa dented na watu wa vetting kwa kuvaa nguo hazieleweki. Mtu unavaa kama unaenda jogging bhn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ