Ushiriki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha malori na tipa

Muwe mnaangalia na mavazi ya kuvaa kwenye occasion kama hizo, unavaa kama mdangangaji wakati tunategemea uwe future leader wa taifa. Hapo hata kama unaonekana, profile yako inaanza kuwa dented na watu wa vetting kwa kuvaa nguo hazieleweki. Mtu unavaa kama unaenda jogging bhn
Dada kavaa vizuri na kupendeza vizuri kabisa .
 
09/Mei/2024

Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.

Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.

Ulikuwa Wakati Mzuri ✍️.

NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi 🙌 Bado Mmeupiga Mwingi 👏

Naomba Kuwasilisha. ✍️
#KaziIendelee

View attachment 2986601
well done comrade 👍
 
Watu mna makasiriko 😂

Sasa hamtaki kiwanda kizinduliwe?
 
Muwe mnaangalia na mavazi ya kuvaa kwenye occasion kama hizo, unavaa kama mdangangaji wakati tunategemea uwe future leader wa taifa. Hapo hata kama unaonekana, profile yako inaanza kuwa dented na watu wa vetting kwa kuvaa nguo hazieleweki. Mtu unavaa kama unaenda jogging bhn
Punguza hizo mkuu
 
Ni assembling plant ya finished product, tafsiri yake itamfavour Mchina kuimport gari nyingi kadili awezavyo huku akinufaika na uwepo wa unskilled cheap labor, hatatumia umeme wetu mwingi maana it's just assembling,ni manufacturing process tu ndio ingeweza kutumia umeme mwingi.

Sidhani kama kutakuwa na unafuu wa bei Kwa anayenunua China na hapa ( nawajua wabongo na ujinga wetu).

Kitanufaisha tu Watanzania kama bei ya hizo trucks zitakuwa chini kwa Watanzania na mishahara kwa Watanzania itakuwa mizuri, training zitatolewa kwa wafanyakazi wazawa, kila mwaka watachukua vijana wetu wa internship na field, Serikali kuweka special programs Kwa watu kukopa na Got ikiwa guarantor.
 
09/Mei/2024

Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.

Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.

Ulikuwa Wakati Mzuri ✍️.

NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi 🙌 Bado Mmeupiga Mwingi 👏

Naomba Kuwasilisha. ✍️
#KaziIendelee

View attachment 2986601
Kumbe wewe na Lucas ni watu wawili tofauti....
 
Takataka nyingine hii, umeshiriki so what? Magufuli aliharibu sana utumishi wa umma kwa kuokota okota vijana wenye kujipendekeza kusifia mitandaoni na kuwateua kwenye utumishi wa umma. Amefanya sasa mavijana ya hovyo kutaka yaonekane yapate teuzi na hivyo kudidimiza fikra.
Hii ni PhD ya kijinga sana, magufuli aliharibu utumishi wa umma kwa sababu ya kutumbua PhD za kipumbavu kama hizi
 
09/Mei/2024

Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.

Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.

Ulikuwa Wakati Mzuri ✍️.

NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi 🙌 Bado Mmeupiga Mwingi 👏

Naomba Kuwasilisha. ✍️
#KaziIendelee

View attachment 2986601
Unajua nini hizi mambo za vyama embu tuache kwanza. Mi ningependa kujua jimbo linaruhusu wagombea au ndo form moja?
 
Mlikuwa mnazindua kiwanda au kongamano la CCM? umevaa hilo sharti lako badala ya kwenda kufanya kazi umri unaenda bila kuolewa umebaki na kazi ya uchawa pekee, baada ya miaka 3 ijayo hakuna mtu atakutongoza utakuwa ni bibi
Mimi babu nipo ntamtongoza acha kwanza awe chawa afu nitamkaribishaa kotini. Siunajua la babu halikosi chawa
 
09/Mei/2024

Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.

Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.

Ulikuwa Wakati Mzuri ✍️.

NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi 🙌 Bado Mmeupiga Mwingi 👏

Naomba Kuwasilisha. ✍️
#KaziIendelee

View attachment 2986601
Unalipa
 
Punguza kujiuza mitandaoni. Unajiaibisha. Usipende njaa ikuongoze Bali iongoze hiyo njaa.
 
Back
Top Bottom