Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Dada kavaa vizuri na kupendeza vizuri kabisa .Muwe mnaangalia na mavazi ya kuvaa kwenye occasion kama hizo, unavaa kama mdangangaji wakati tunategemea uwe future leader wa taifa. Hapo hata kama unaonekana, profile yako inaanza kuwa dented na watu wa vetting kwa kuvaa nguo hazieleweki. Mtu unavaa kama unaenda jogging bhn
Wanaokwambia ukweli wengi wanakupenda ila kama unaleta ubishi basi fanya unachojiskia.Dada kavaa vizuri na kupendeza vizuri kabisa .
well done comrade π09/Mei/2024
Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.
Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.
Ulikuwa Wakati Mzuri βοΈ.
NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi π Bado Mmeupiga Mwingi π
Naomba Kuwasilisha. βοΈ
#KaziIendelee
View attachment 2986601
Pro maxDada kavaa vizuri na kupendeza vizuri kabisa .
Watu wamejaa msongo wa mawazo na mihasira wanatafuta tu pakutolea mihasira yaoπππWatu mna makasiriko π
Sasa hamtaki kiwanda kizinduliwe?
Hatari sanaWatu wamejaa msongo wa mawazo na mihasira wanatafuta tu pakutolea mihasira yaoπππ
Punguza hizo mkuuMuwe mnaangalia na mavazi ya kuvaa kwenye occasion kama hizo, unavaa kama mdangangaji wakati tunategemea uwe future leader wa taifa. Hapo hata kama unaonekana, profile yako inaanza kuwa dented na watu wa vetting kwa kuvaa nguo hazieleweki. Mtu unavaa kama unaenda jogging bhn
Kumbe wewe na Lucas ni watu wawili tofauti....09/Mei/2024
Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.
Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.
Ulikuwa Wakati Mzuri βοΈ.
NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi π Bado Mmeupiga Mwingi π
Naomba Kuwasilisha. βοΈ
#KaziIendelee
View attachment 2986601
Hii ni PhD ya kijinga sana, magufuli aliharibu utumishi wa umma kwa sababu ya kutumbua PhD za kipumbavu kama hiziTakataka nyingine hii, umeshiriki so what? Magufuli aliharibu sana utumishi wa umma kwa kuokota okota vijana wenye kujipendekeza kusifia mitandaoni na kuwateua kwenye utumishi wa umma. Amefanya sasa mavijana ya hovyo kutaka yaonekane yapate teuzi na hivyo kudidimiza fikra.
Hakuna faida km huna connection ya kufanya kazi kwenye HICHO kiwandaWatanzania watanufaika na nini na ujio wa hicho kiwanda?.
Unajua nini hizi mambo za vyama embu tuache kwanza. Mi ningependa kujua jimbo linaruhusu wagombea au ndo form moja?09/Mei/2024
Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.
Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda Kukitumia Kiwanda Hicho Kuwa Na Masilahi Kwa Tanzania, Na Watanzania, Mfano; Upatikanaji wa Ajira Kwa Vijana, Na Ununuzi wa Baadhi Ya Malighafi za Uzalishaji wa Magari Kwenye Kiwanda Hiko, Kutoka Hapa Nchini. Pia, Alisema Kuhusu Utayari wa Serikali Juu Ya Kuweka Mazingira Rafiki Ya Uwekezaji Kwa Wawekezaji. Lakini Pia, Alikemea Suala la Ukiritimba.
Ulikuwa Wakati Mzuri βοΈ.
NB : Natoa PONGEZI Kwa Ndugu Zangu Wote wa Wilaya Ya Ilala, Mlioupokea Mwenge, Tukakesha Nao Mnazi Mmoja, Na Bado Mkaukabidhi, Na Kuelekea Kigamboni Kuzindua Kiwanda Pamoja na Mheshimiwa Rais.... Hakika Ninyi Ni Wazalendo... Hata Kama Mlisinzia Kwenye Uzinduzi π Bado Mmeupiga Mwingi π
Naomba Kuwasilisha. βοΈ
#KaziIendelee
View attachment 2986601
Mimi babu nipo ntamtongoza acha kwanza awe chawa afu nitamkaribishaa kotini. Siunajua la babu halikosi chawaMlikuwa mnazindua kiwanda au kongamano la CCM? umevaa hilo sharti lako badala ya kwenda kufanya kazi umri unaenda bila kuolewa umebaki na kazi ya uchawa pekee, baada ya miaka 3 ijayo hakuna mtu atakutongoza utakuwa ni bibi
Unalipa09/Mei/2024