May 18, 2020
Onesmo Ole Ngurumwa mratibu wa asasi za kiraia.
Mwaka 2015 Asasi za kiraia zilishiriki kwa ukamilifu kabisa kutoa elimu ya uraia kupitia TWAWEZA, REDET UDSM, TEMCO , vyombo vya habari AJM , LHRC , Taasisi za Dini , Polisi n.k
Mwaka 2020 uchaguzi unakaribia kuna changamoto kubwa mfano Kituo Cha Haki za Binadamu walipata changamoto kuhusu kupata vibali vya kuwa Waangalizi / Observers chaguzi za serikali za mitaa na vijiji November 2019.
Changamoto hizo upande wa Bara na Visiwani mwaka huu 2020 ni kubwa hakuna utafiti au kipima-‐joto mwanasiasa gani anaongoza, chama gani kitapata viti vingapi, nani tafiti zinaonesha atapata asilimia gani ktk uchaguzi wa October 2020.
Uchaguzi ni mchakato mkubwa siyo siku ya kupiga kura bali huanza ktk teuzi ndani ya vyama, mchakato mzima kabla ya kupiga kura, zoezi la kupiga kura na kutangaza matokeo
Source : WATETEZI TV