Dr Msaka Habari
Member
- Apr 9, 2022
- 66
- 32
Na. Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Kampuni ya Mchezo wa Kubashiri Nchini Meridianbet, imetangaza kushirikiana na Halopesa katika kampeni ya Jichukulie Maokoto na Halopesa, ushirikiano huo ukiwa na lengo la kumfurahisha Mtumiaji wa Meridianbet na Halopesa wakati wa kufanya malipo.

Hata hivyo Meridianbet kupitia Kampeni hiyo imewapa wateja wake njia isiyo na vikwazo, salama na rahisi ya kuweka pesa kwenye akaunti zao za michezo kupitia Halopesa ambayo itawapatia zawadi kibao na kabambe katika kipindi chote cha Kampeni hiyo.
Akizungu na Vyombo vya Habari Jijini Dar es salaam, Meneja Malipo wa Meridianbet, Dora Kinyaiya ameelezea furaha yake kuhusu ushirikiano huo na ameahidi kutoa ushirikiano na uzoefu bora katika kuhudumia wateja wao.

"Tunajitahidi kutoa uzoefu bora kabisa kwa wateja wetu wanaobashiri meridìnbet, na tunafurahi kushirikiana na Halopesa kuzindua kampeni ya Meridianbet jichukulie Maokoto na Halopesa, ambayo inaanza tarehe 15, septemba na itaendelea hadi tarehe 15, Novemba 2023" alisema Dora.
Ameendelea kwa kusema kuwa ushirikiano huo utaenda kuongeza tija kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri kupitia Kampuni ya Meridianbet mabingwa namba moja wa michezo ya kasino ya Mtandaoni na ubashiri wa soka.
"Tunaposema Meridianbet Vuna Zaidi na Halopesa, tunamaanisha kuwa mteja au mshindi atapokea zawadi tofauti kama vile Pikipiki, Simu jana, Pesa taslimu, Bonasi na Mizunguko ya bure, yenye kuleta msisimko usio na kifani na zawadi kedekede kwa watumiaji wetu wote walitukuka" amesema Bi. Kinyaiya.

Amefafanua kuwa kampeni hiyo itahusisha wateja wanaofanya miamala ya simu kupitia Halopesa kwenda kwenye akaunti za Meridianbet, moja kwa moja watakuwa wameingia kwenye droo na kujihakikishia nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali.
"Kipindi chote cha kampeni kuanzia tarehe 15, 9,2023 hadi 15, 11,2023 kila Bashiri utakayoweka Meridianbet itakupa nafasi ya kuingia katika droo kubwa ya zawadi, weka pesa, Beti na Shinda kadiri unavyoweka pesa na kubeti, ndivyo nafasi yako ya kushinda inavoongezeka, ikiwa unabeti, soka, kasino mtandao na michezo mingine ya Meridianbet, kila beti itakusogeza karibu na ushindi mkubwa zaidi" alisema meneja malipo wa Meridianbet.
Pia ameongeza kwa kusema kuwa na droo za Bonasi za kila wiki zawadi kubwa pekee hazitoshi, ila kutakuwa na droo za bonasi za kila wiki katika kipindi cha kampeni, droo hizo za bonasi zitakuwa na nafasi ya kushinda bidhaa za kipekee, hivyo unatakiwa ubeti bure na zawadi nyingi za kusisimua zitakuwepo.

"Kushiriki katika kampeni hii ni rahisi, hivyo mteja anaweza kuingia kwenye akaunti yake ya Meridianbet na kuweka pesa na kisha akabeti, moja kwa moja anaingia kwenye droo na uwezo wa kuangalia jinsi nafasi yake ya kushinda inavyoongezeka na hakuna kikomo cha idadi nafasi anazoweza kupata" alisema Dora.
Eidha Dora amesema kwamba wanafuraha sana ya kusherekea shauku na uaminifu wa wachezaji wao kwani kampeni hiyo imekuwa sehemu ya kutoa shukrani kwa jamii na wapenzi wa Meridian pamoja na wapenzi wote wa kubeti Nchini.
Kwa upande wake Roxana Kadio Afisa Masoko wa Halopesa ameelezea furaha ya ushirikiano huo na Meridianbet, kwa kuzindua kampeni ya Meridianbet Jichukulie Maokoto na Halopesa, ambapo mteja ataweza kuweka pesa kupitia Halopesa kwenda kwenye akaunti yake ya Meridianbet, na Tovuti kupitia huduma ya push ambayo ni rahisi.
Ameongeza kuwa mteja anaweza kuweka pesa kupitia menyu ya Halopesa *150*88#>4<6 (656565) au piga *149*10# thibitisha muamala na kufurahia ushindi.
Na pia Meneja wa Meridianbet ametoa maelezo kuhusu kampeni na jinsi ya kushiriki kwa kutembelea www.meridianbet.co.tz, na kuwataka waendelee kufuatilia Tovuti na mitandao mingine ya kijamii kwa habari kutangazwa kwa washindi, na ofa maalum za bonasi, kituo cha simu +255768988200, +255754303032, +255 754 303 032, au Barua pepe info@meridianbet.co.tz.