Hata Shemeji yako humpendi? Namaanisha yule anayemla mdogo wakoKimsingi haupo, sina uhusiano na polisi kutokana na matendo yao ya kuudhi na kukatisha sana tamaa. Nimefikia mahali ambapo siwapendi polisi wa Tanzania. Uhusiano wangu na polisi wa Tanzania unakuwapo pale tu ambapo inabidi, ikiwa sina jinsi, au ninapoona ni kwa maslahi ya watu wengine ambao sio polisi.
Hata Shemeji yako humpendi? Namaanisha yule anayemla mdogo wako
I'm not thé ont tous ne examinés Esther yo examinés others in thé même où jésus Mariah, ï look on thé arrête dindon thé si vallée citée aller have bien yake n'y dossiers, ï m'en police officiers.Kama mdogo wako anapenda kuhusiana na askari au watu katika uniform za polisi basi si kwamba kila msichana au mwanamke ana hiyo weakness. Mtafutie mdogo wako wana saikolojia wamsaidie kuondokana na tatizo hilo, na wewe pia watafute wakusaidie ili uwe na kufikiri kuliko sawa (have your head examined)