kwani hawa chuma ulete hawaibi ebay, itunes, kwenye giants companies.... Solution ni kwamba they are fake
Si amini kama kuna uchawi bali ni illusion.Kuna watu wanaamini uchawi mpaka wanafikia point wana hallucinate.If your bro and friend are not one of them,can install cctv systems na watawona wachawi wa kweli
wa salaaam!
Ni po kwa masikitiko juu ya aina hii ya uchaw kwenye biashara,nakumbuka
siku moja jamaangu mmoja anafanya biashara ya duka la madawa na m-pesa
alikutwa na msara wa kupoteza laki nne katika mazingira tatanishi
alikuja binti akiwa ma mama wa makamu wakiwa na elfu kumi wakanunua
dawa za elfu mbili na kupewa chenji elfu nane,jamaa kachukua ile elfu
kumi akachanganya na milion mbili za m-pesa baada ya dk tano kaja mtu
anataka kutoa laki tano kwenye m-pesa,jamaa kucheki tayari anaross ya
laki nne
najaribu kufikilia dawa hasa ya huu mchezo wa chuma ulete nini?
Kakaangu ana ofisi ya stationary,haya yana mkuta kila mara,alisha wai
kushauliwa na wenzake kwamba akimsutukia mtu kama ataitaji huduma ambayo
itaitaji chenji basi ni kumwambia chenji baadae,then akiondoka anaenda
kuchenji sehemu nyingine bila hivyo hesabu maumivi
dawa hii ya chuma ulete itakomeshwa vipi?isiwe kwa mganga
teh,teh,teh,
mkuu umeniacha hoi
mwanaume mchawi je?
Kuna mama wa kichina alishanifanyia huu mchezo mara mbili, kuna siku nilienda kwake nikamlipa hela yake niliporudi nyumbani nikakuta $25 zimeyeyuka mifuko ya suruali haijatoboka hela zingine zipo nikajipa moyo nimeidondosha, siku nyingine nikaenda tena kwa yule mama kupata huduma nilporudi nyumbani $25 tena hazipo hela nyingine mfukoni zipo.... ndio nikagundua mchezo wa mama wa kichina.
Haya madudu yapo jamani, wewe angalia process ya muhindi anapokupa hela it's whether anakupa kwa mkono wa kushoto au anaweka mezani sijui ndio anti-chumaulete![hawa jamaa huwa ni wachafu sana]
Wamtumainio Yesu ni kama mlima sayuni hawatatikisika milele daima,mkabidhi Mungu aliye hai biashara zako.wa salaaam!
Ni po kwa masikitiko juu ya aina hii ya uchaw kwenye biashara,nakumbuka siku moja jamaangu mmoja anafanya biashara ya duka la madawa na m-pesa alikutwa na msara wa kupoteza laki nne katika mazingira tatanishi
alikuja binti akiwa ma mama wa makamu wakiwa na elfu kumi wakanunua dawa za elfu mbili na kupewa chenji elfu nane,jamaa kachukua ile elfu kumi akachanganya na milion mbili za m-pesa baada ya dk tano kaja mtu anataka kutoa laki tano kwenye m-pesa,jamaa kucheki tayari anaross ya laki nne
najaribu kufikilia dawa hasa ya huu mchezo wa chuma ulete nini?
Kakaangu ana ofisi ya stationary,haya yana mkuta kila mara,alisha wai kushauliwa na wenzake kwamba akimsutukia mtu kama ataitaji huduma ambayo itaitaji chenji basi ni kumwambia chenji baadae,then akiondoka anaenda kuchenji sehemu nyingine bila hivyo hesabu maumivi
dawa hii ya chuma ulete itakomeshwa vipi?isiwe kwa mganga
ingekuwa kweli,si benk zingefirisika
Tenga 10% ya mapato yako ya kila siku sehemu, kisha kila siku ama kila mwisho wa juma ama kila mwisho wa mwezi ama kila mwisho wa mwaka peleka katika nyumba ya ibada kulingana na imani yako, ama toa sdaka, saidia yatima, watoto wasiojiweza na walio katika mazingira magumu, wajane, wazee, walemavu, wagonjwa nk. Hii ndo dawa yao, hutakuja kuibiwa tena.
cashmoney asilimia 10 ya mapato au faida?
Kaka kwa wakristo kwenye bible kuna andiko lisemalo ailindaye nyumba yake bila mimi(Mungu) afanya kazi bure(ulinde na security campanies, umeme au uchawi) bado majanga yatakukuta tu. Nakushauri kabla hujaanza biashara yako chukua kiasi flam kwenye mtaji wako toa sadaka kwa kumwambia Mungu asimame kwenye biashara yako then jenga tabia ya kutoa zaka au fungu la kumi 10 percent, kamwe hakuna mchawi atagusa biashara yako na utaapata faida zaidiNiko mikoa ya kusini mwa Tanzania... nimekuja kikazi kwa kama miezi minne sasa..
Katika kutaka kuanzishisha biashara ili nisitegemee sana mshahara nakutana na taarifa za ajabu sana..
naambiwa wananchi wa eneo nililopo wanajihusisha mnoo na mambo ya CHUMA ULETE..Watu wengi wameanzisha biashara na kujikuta wamefilisika si kwa sababu hawana mbinu za kibiashara lakini wamekuwa wakirudishwa nyuma bila wao wenyewe kujielewa.... wananchi waliowengi ni MASKINI WA KUTUPWA... WANAWAZANA TU..
Sasa nipeni mawazo jamani, nini cha kufanya ili nitakachokianzisha nikdumu na kunifaidisha pia...
Naamini sana kuna watu humu wameshakutana au wanatokea maeneo yenye haya mambo.
ASANTE.