Ushirikina (chuma ulete) unawaangusha wafanyabiashara

Ushirikina (chuma ulete) unawaangusha wafanyabiashara

kwani hawa chuma ulete hawaibi ebay, itunes, kwenye giants companies.... Solution ni kwamba they are fake

ctu, jamaa wa mizizioloji watakwambia ebay el al wanatumia pesa za plastic na e payment ila wanalifanyia kazi!!
 
Kama hamna uchawi ilikuwaje kwenye neno la Mungu kukaandikwa usimwache mwanamke mchawi aishi?

Si amini kama kuna uchawi bali ni “illusion”.Kuna watu wanaamini uchawi mpaka wanafikia point wana “hallucinate”.If your bro and friend are not one of them,can install cctv systems na watawona wachawi wa kweli
 
wa salaaam!
Ni po kwa masikitiko juu ya aina hii ya uchaw kwenye biashara,nakumbuka
siku moja jamaangu mmoja anafanya biashara ya duka la madawa na m-pesa
alikutwa na msara wa kupoteza laki nne katika mazingira tatanishi
alikuja binti akiwa ma mama wa makamu wakiwa na elfu kumi wakanunua
dawa za elfu mbili na kupewa chenji elfu nane,jamaa kachukua ile elfu
kumi akachanganya na milion mbili za m-pesa baada ya dk tano kaja mtu
anataka kutoa laki tano kwenye m-pesa,jamaa kucheki tayari anaross ya
laki nne

najaribu kufikilia dawa hasa ya huu mchezo wa chuma ulete nini?

Kakaangu ana ofisi ya stationary,haya yana mkuta kila mara,alisha wai
kushauliwa na wenzake kwamba akimsutukia mtu kama ataitaji huduma ambayo
itaitaji chenji basi ni kumwambia chenji baadae,then akiondoka anaenda
kuchenji sehemu nyingine bila hivyo hesabu maumivi
dawa hii ya chuma ulete itakomeshwa vipi?isiwe kwa mganga

i have no suggestion on this.
 
teh,teh,teh,
mkuu umeniacha hoi

Inategemea umemuelewa vp na yeye ana maanisha nini ;pengine yeye anahisi ni trick tu inafanyika anaibiwa afu aliyeibiwa akaconclude "chuma ulete" so kuondoka utata aweke video kamera..for sure it must show something haidanganyi hata kama ni mchawi
 
Tenga 10% ya mapato yako ya kila siku sehemu, kisha kila siku ama kila mwisho wa juma ama kila mwisho wa mwezi ama kila mwisho wa mwaka peleka katika nyumba ya ibada kulingana na imani yako, ama toa sdaka, saidia yatima, watoto wasiojiweza na walio katika mazingira magumu, wajane, wazee, walemavu, wagonjwa nk. Hii ndo dawa yao, hutakuja kuibiwa tena.
 
Kuna mama wa kichina alishanifanyia huu mchezo mara mbili, kuna siku nilienda kwake nikamlipa hela yake niliporudi nyumbani nikakuta $25 zimeyeyuka mifuko ya suruali haijatoboka hela zingine zipo nikajipa moyo nimeidondosha, siku nyingine nikaenda tena kwa yule mama kupata huduma nilporudi nyumbani $25 tena hazipo hela nyingine mfukoni zipo.... ndio nikagundua mchezo wa mama wa kichina.

Haya madudu yapo jamani, wewe angalia process ya muhindi anapokupa hela it's whether anakupa kwa mkono wa kushoto au anaweka mezani sijui ndio anti-chumaulete![hawa jamaa huwa ni wachafu sana]

Duu huyo mama ni pure mchina? au ni mmatumbi tu mmembatiza mama wa Kichina? Siamini kama hadi wachina nao wana ndumba
 
wa salaaam!
Ni po kwa masikitiko juu ya aina hii ya uchaw kwenye biashara,nakumbuka siku moja jamaangu mmoja anafanya biashara ya duka la madawa na m-pesa alikutwa na msara wa kupoteza laki nne katika mazingira tatanishi
alikuja binti akiwa ma mama wa makamu wakiwa na elfu kumi wakanunua dawa za elfu mbili na kupewa chenji elfu nane,jamaa kachukua ile elfu kumi akachanganya na milion mbili za m-pesa baada ya dk tano kaja mtu anataka kutoa laki tano kwenye m-pesa,jamaa kucheki tayari anaross ya laki nne

najaribu kufikilia dawa hasa ya huu mchezo wa chuma ulete nini?

Kakaangu ana ofisi ya stationary,haya yana mkuta kila mara,alisha wai kushauliwa na wenzake kwamba akimsutukia mtu kama ataitaji huduma ambayo itaitaji chenji basi ni kumwambia chenji baadae,then akiondoka anaenda kuchenji sehemu nyingine bila hivyo hesabu maumivi
dawa hii ya chuma ulete itakomeshwa vipi?isiwe kwa mganga
Wamtumainio Yesu ni kama mlima sayuni hawatatikisika milele daima,mkabidhi Mungu aliye hai biashara zako.
 
Ushirikina hauwezi kutenganishwa na biashara. Wafanya biashara wakubwa kama Rothschild na Rockefeller ni washirikina. These people ALREADY own the world. Lakini hawawezi kujitangaza viongozi wa Dunia kwa ajili ya ushirikina wao.Kila Mtanzania anadaiwa thousands of dollars. Anadaiwa na nani? Rothschild na Rockefeller.
 
ingekuwa kweli,si benk zingefirisika

Masharti ya hiyo kitu ni lazima anunue ki2 then ukichanganya hela yake na zako ndio mambo yanajipa. Sasa bank hakuna cha kununua na vizee vingi havina fedha za kigeni useme vika exchange then vilambe dume. But all in all banks kuna shoti nyingi 2 waulize ma teller watakuambia. Hiyo k2 ipo na mimi ni muhanga. Pia hawa ombaomba nao wanayo hii tech, ukimpa hela ukifika mbele ni lazima ukute upungufu. Huku uswahilini watu wanalia sn thus y nw nimekua bandidu wa kutoa chenji ovyo.
 
Yakobo alitumia dawa kupata utajili kwa mjomba wake.utajili na ushirikina ni mapacha
 
Tenga 10% ya mapato yako ya kila siku sehemu, kisha kila siku ama kila mwisho wa juma ama kila mwisho wa mwezi ama kila mwisho wa mwaka peleka katika nyumba ya ibada kulingana na imani yako, ama toa sdaka, saidia yatima, watoto wasiojiweza na walio katika mazingira magumu, wajane, wazee, walemavu, wagonjwa nk. Hii ndo dawa yao, hutakuja kuibiwa tena.

cashmoney asilimia 10 ya mapato au faida?
 
Last edited by a moderator:
Niko mikoa ya kusini mwa Tanzania... nimekuja kikazi kwa kama miezi minne sasa..
Katika kutaka kuanzishisha biashara ili nisitegemee sana mshahara nakutana na taarifa za ajabu sana..
naambiwa wananchi wa eneo nililopo wanajihusisha mnoo na mambo ya CHUMA ULETE..Watu wengi wameanzisha biashara na kujikuta wamefilisika si kwa sababu hawana mbinu za kibiashara lakini wamekuwa wakirudishwa nyuma bila wao wenyewe kujielewa.... wananchi waliowengi ni MASKINI WA KUTUPWA... WANAWAZANA TU..

Sasa nipeni mawazo jamani, nini cha kufanya ili nitakachokianzisha nikdumu na kunifaidisha pia...

Naamini sana kuna watu humu wameshakutana au wanatokea maeneo yenye haya mambo.

ASANTE.
 
Kaka kwa wakristo kwenye bible kuna andiko lisemalo ailindaye nyumba yake bila mimi(Mungu) afanya kazi bure(ulinde na security campanies, umeme au uchawi) bado majanga yatakukuta tu. Nakushauri kabla hujaanza biashara yako chukua kiasi flam kwenye mtaji wako toa sadaka kwa kumwambia Mungu asimame kwenye biashara yako then jenga tabia ya kutoa zaka au fungu la kumi 10 percent, kamwe hakuna mchawi atagusa biashara yako na utaapata faida zaidi
 
humu kuna kila kitu nilifikiria kuishusha hii mada
 
hakuna hii hata kama ipo ni rarely cases INGAWA LISEMWALO LIPO NDO PANAPOUMIZA maana kuna mzee nilisikia kajenga kwa hii tabia
 
Wakuu habarini za jioni,kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,naomba msaada wenu please!!mana mpaka ndoa ina tetereka!!! Kwa kuhisi ni mke wangu na mke anahisi ni nahongea wanawake.
 
Back
Top Bottom