Hahahhh ni hilo jina ndio limekuchanganya [emoji28]Mkuu wewe ni jinsia gani?
yaa ilo jina tata.Hahahhh ni hilo jina ndio limekuchanganya [emoji28]
hahahh labda shemaleyaa ilo jina tata.
Watu kama hawa nina wasiwasi nao sana
Wakuu habarini za jioni,kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,naomba msaada wenu please!!mana mpaka ndoa ina tetereka!!! Kwa kuhisi ni mke wangu na mke anahisi ni nahongea wanawake.
Kuna ID FAKE humu mpaka zinakera. Inakuwaje ww man unatumia ID ya kike? Na ili iweje?Wakuu habarini za jioni,kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,naomba msaada wenu please!!mana mpaka ndoa ina tetereka!!! Kwa kuhisi ni mke wangu na mke anahisi ni nahongea wanawake.
Dawa ya uchawi ni kupotezeaWakuu habarini za jioni,kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,naomba msaada wenu please!!mana mpaka ndoa ina tetereka!!! Kwa kuhisi ni mke wangu na mke anahisi ni nahongea wanawake.
lady mmarangu Leo imekula kwako hivi wewe ni bwabwa, dume au jike?Wakuu habarini za jioni,kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,naomba msaada wenu please!!mana mpaka ndoa ina tetereka!!! Kwa kuhisi ni mke wangu na mke anahisi ni nahongea wanawake.