Ushirikina (chuma ulete) unawaangusha wafanyabiashara

Ushirikina (chuma ulete) unawaangusha wafanyabiashara

m.jpg

Wakuu habarini za jioni,kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,naomba msaada wenu please!!mana mpaka ndoa ina tetereka!!! Kwa kuhisi ni mke wangu na mke anahisi ni nahongea wanawake.
 
Wakuu habarini za jioni,kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,naomba msaada wenu please!!mana mpaka ndoa ina tetereka!!! Kwa kuhisi ni mke wangu na mke anahisi ni nahongea wanawake.
Kuna ID FAKE humu mpaka zinakera. Inakuwaje ww man unatumia ID ya kike? Na ili iweje?

Naona umeoa lady marangu, mwambie mumeo mkae chini mzungumze
 
Wakuu habarini za jioni,kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,naomba msaada wenu please!!mana mpaka ndoa ina tetereka!!! Kwa kuhisi ni mke wangu na mke anahisi ni nahongea wanawake.
Dawa ya uchawi ni kupotezea

Sasa kwa ushauri wangu ukiwa nyumbani au sehemu tulivu weka biblia au Quran chini ya waleti au juu ya waleti,
Ukikuta pesa ipo hiyo ni dawa
Ukikuta haipo njoo pm nikupe dawa.
 
chukua miatano za coin mia moja tupa njia panda usiku wa SAA saba isizidi SAA Tisa kipindi cha mvua za masika ukiwa mtupu.. ikishindikana sio mimi
 
Yawezekana ukawa unaibiwa kweli, jaribu kutotembea na cash nyngi. Weka hata elfu 5 kwenye wallet kama we c mtu wa matumizi. Ikipotea na hiyo basi utafute huduma ya Maombi.
 
Usikubali kumpa mkono mtu uaekutana nae ghalfa usikubal kumpa hata hela muwekee mezani au juu ya kitu aokote mwenyewe
 
aisee [HASHTAG]#lady[/HASHTAG] mmarangu km umemletea mada hii kaka yako basi edit kuwa unamtafutia ushauri huoni adi watu wanasahau cha kukureply wanaishia kujudge ID yako.
 
Back
Top Bottom