Ushirikina na Rushwa kutumika kusaka madaraka ni hatari.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi.
Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo.
Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini ndio kapwe/kachaguliwa kuwa Diwani, Mbunge, waziri, mkurugenzi, jaji n.k n.k 90% walio au wanao taka nafasi hizo wanatumia USHIRIKINA kupata au kuzilinda nafasi zao.
 
Dawa ya moto ni moto! Hawa ni kuwaloga tu ili wasichaguliwe tena
 
Sasa kama 90% ya viongozi unakiri wamepata nafasi kwa mbinu za kishirikina, ina maana hii serikali ni ya washirikina na hata ccm ni chama cha washirikina maana ndiyo wanaounda serikali. Hivyo ccm iondolewe ili nchi iponywe na ushirikina.

Tunashukuru kwa kutujuza kuwa 90% ya viongozi nchini wamepata nafasi zao kwa ushirikina. Hii taarifa yako inakubaliana kabisa na tafiti mbali mbali zinazoelezea kiwango cha imani ya wananchi kwa mambo ya ushirikina nchini

463586_gallup_gifd5b598be8adb1e8bcee2e38e61b025ba.gif
 
Dawa ya moto ni moto! Hawa ni kuwaloga tu ili wasichaguliwe tena
utaloga jitu lililojizatiti konk kishirikina utaanzaje? Linatembea mpaka na mikoba ya kichawi, limevaa hirizi, limevaa mapete ya kishirikana, limechanjwa chale kila kona ya mwili, lina material ya kishirikina mpaka kwenye nguo linalovaa likiongea tu linawaathiri kisaikolojia mliogope na mlikubali hoja zake
 
Back
Top Bottom