Dawa ya moto ni moto! Hawa ni kuwaloga tu ili wasichaguliwe tenaTukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi.
Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo.
Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini ndio kapwe/kachaguliwa kuwa Diwani, Mbunge, waziri, mkurugenzi, jaji n.k n.k 90% walio au wanao taka nafasi hizo wanatumia USHIRIKINA kupata au kuzilinda nafasi zao.
Sasa kama 90% ya viongozi unakiri wamepata nafasi kwa mbinu za kishirikina, ina maana hii serikali ni ya washirikina na hata ccm ni chama cha washirikina maana ndiyo wanaounda serikali. Hivyo ccm iondolewe ili nchi iponywe na ushirikina.Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi.
Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo.
Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini ndio kapwe/kachaguliwa kuwa Diwani, Mbunge, waziri, mkurugenzi, jaji n.k n.k 90% walio au wanao taka nafasi hizo wanatumia USHIRIKINA kupata au kuzilinda nafasi zao.
utaloga jitu lililojizatiti konk kishirikina utaanzaje? Linatembea mpaka na mikoba ya kichawi, limevaa hirizi, limevaa mapete ya kishirikana, limechanjwa chale kila kona ya mwili, lina material ya kishirikina mpaka kwenye nguo linalovaa likiongea tu linawaathiri kisaikolojia mliogope na mlikubali hoja zakeDawa ya moto ni moto! Hawa ni kuwaloga tu ili wasichaguliwe tena
Dawa ya moto ni moto! Hawa ni kuwaloga tu ili wasichaguliwe tena