Ushirikina: Timu ya soka ya Mbeya Kwanza yangia uwanjani kinyume nyume

Hivi ndivyo gari aina ya Coaster iliyoingia uwanjani ikiwa imebeba wachezaji wa Mbeya kwanza walipoingia uwanjani kupambana na Yanga , yaani gari imeingia kwa rivasi .

Bila shaka haya ni masharti ya Mganga .
Mbona sasa wanachezea kichapo? Soka la Kiafrika miyeyusho sana😀😀😀
 
Ifikie hatua wanamichezo wenyewe wajiamini wao na mazoezi yao na si vingine.
 
Imani hata ulaya wachezaji wana imani za lucky charm..., na iwe kweli au si kweli inawasaidia kwenye confidence boosting
 
Wanaingia ma.tako nyuma!!???
hawana akili kabisa.....
manake ni rahisi kupenyezewa kitu
 
Hivi ndivyo gari aina ya Coaster iliyoingia uwanjani ikiwa imebeba wachezaji wa Mbeya kwanza walipoingia uwanjani kupambana na Yanga , yaani gari imeingia kwa rivasi .

Bila shaka haya ni masharti ya Mganga .
Wamekula kichapo pia
 
Haya wajifunza kwa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…