Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi ndivyo gari aina ya Coaster iliyoingia uwanjani ikiwa imebeba wachezaji wa Mbeya kwanza walipoingia uwanjani kupambana na Yanga, yaani gari imeingia kwa rivasi.
Bila shaka haya ni masharti ya Mganga.
Bila shaka haya ni masharti ya Mganga.