Ushirikina,Unafiki wa Matajiri wa Afrika na Maisha halisi

Ushirikina,Unafiki wa Matajiri wa Afrika na Maisha halisi

Hawa binafsi ni watu nisiowapenda. Na sipendi kero zao unapoenda stand.wasiwepo kabisa.
Kwa kweli hawa ndio hupandisha bei za nauli na kuleta kero kwa abiria.

Wa stand ya Arusha mjini walikuwa balaa kwa vurugu na kuna siku waligombea bag yangu waka iharibu mikanda. Nawaambia nina ticket wao hawasikii wanagombana tu.

Walipomaliza nikawaonesha ticket wakabaki wamechoka na kujuta wamepoteza muda.
 
Khofu yangu ni kuwa mzigo huo utawaangukia abiria.wenye mabasi watataka ile kodi ilipwe na abiria hivyo kama serikali haitaongilia kuweka kikomo cha bei ya juu kutakuja kuwa na shida kwenye nauli.

Hili ni kweli kwa sababu ticket hizo zitahusisha hadi Daladala na zile gari za safari fupifupi za mikoani(Coaster)
 
Ugali wa wapiga debe/madali wa kukatisha ticket Ubungo wanaenda kufa njaaa.

Mkuu umewaza nje ya Box, ukiangalia ofisi kama Dar Lux, Kilimanjaro kwa Dar utaona kabisa hao jamaa kibarua kimeota mbawa, sasa likija na hili swala ndio kabisaaaaa wezi watarudi tena mtaani kwa wingi sana
 
Serikali yenyewe inalipa kiduchu na inagoma kuongeza mishahara....

Ili utajirike tafuta cheap labour
 
Matajiri wa Afrika wengi wametajirika kwa njia kuu tatu.
1. Ushirikina
2. Ushiriki Siasa
3. Ushiriki Dhulma

Na ndo maana utakuta kwa kiasi kikubwa hujaribu kuosha kikombe kwa nje ilhali ndani kunanuka uvundo.

1. Yusufu Manji - alikuwa anatumia mamilioni ya pesa kuwapeleka yanga nje na kusajili kwa gharama huku akiwalipa wafanya kazi wake pesa kidogo sana. HASA WATANZANIA.

2. Reginald Mengi alikuwa akionekana akito misaada sehemu mbalimbali huku wafanyakazi wake kwa baadhi ya Makampuni wana miezi hawajalipwa salaries.

3. Bakhresa - analipa mishahara kidogo ( ingawa tunashukuru kazini kwake anazingatia kigezo cha kutuajiri kwanza sisi) ila mishahara yake ni aibu huku akisajili na kuweka pesa nyingi azam team ambayo haina msaada mkubwa wa kiuchumi kwake.

4. Mo Dewji- angalia mishahara wanayolipwa wafanyakazi wake hasa watanzania weusi. Utasikitika.lakini anatumia mamilioni ya pesa kuwekeza simba.

Na wengine wengi wengi. Wazungu wanasema "Charity begins at home" unawezaje saidia wa nje ilhali wa ndani hali zao kiuchumi ni hali jojo?

Ndo unafiki na Ushirikina wa matajiri wengi wa nchi za afrika. Machoni kama watu.moyoni hawana utu.

Wanapenda kupita kwenye makutano makubwa ya watu na njia na kuonekana wakitenda mema na kusifiwa. Hawa ni matajiri wanafiki ambao wanaosha kikombe kwa nje wakati ndani kuna uvundo.
Usikute ww ni kyline
 
Nakumbuka kuna uzi humu unazungumzia wale mabosi wa marekani na kampuni zao, kwamba wafanyakazi wengi kule wanaona fahari kufanya kazi kwa Bill gate lakini huku kwetu ni kinyume
 
Ni kweli. Na kibaya unaposema waswahili wengi wanakuja kuwatetea matajiri hao kwa sababu kuu zifuatazo
1. Dini yao
2. Kabila lao
3. Itikadi yao
4. Wanachama wenzao

Ndo maana utaona kuna vijana wamekuja na hasira sana wakifoka.lakini ukweli una baki wengi wao ni wanyonyaji sana huku wakitumia pesa kwenye matumizi mengine pasipo kujali wanaowazalishia pesa

Nakumbuka kuna uzi humu unazungumzia wale mabosi wa marekani na kampuni zao, kwamba wafanyakazi wengi kule wanaona fahari kufanya kazi kwa Bill gate lakini huku kwetu ni kinyume
 
Hatimaye nimepata uzi wa kujifarijia na huu umaskini,, japo kumkandia tajiri hainifanyi mimi kufanana nae ila inarudisha amani ya moyo
 
Back
Top Bottom