Ushirikina Uwanja wa Taifa Usiku huu kuelekea Derby ya Kariakoo

Ushirikina Uwanja wa Taifa Usiku huu kuelekea Derby ya Kariakoo

Huwa hawashindani mpira siku zote waTz ni ndumbaaaa tuuuu ndumbaa tuuu ndio maana hata timu ya taifa inaboronga watakuja kuchanjwa chanjwa hadi washindwe kuvua mashati kisa makovu haya tupoo
 
Wabongo bhana, eti wana linda uwanja ulaya hii kitu hakuna kabisa!! Ndomana hatu endelei
 
Huwa hawashindani mpira siku zote waTz ni ndumbaaaa tuuuu ndumbaa tuuu ndio maana hata timu ya taifa inaboronga watakuja kuchanjwa chanjwa hadi washindwe kuvua mashati kisa makovu haya tupoo
Derby ya wachawi au!?
 
Nimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi ya imani za dini kiasi kwamba kila upande unatumia nguvu nyingi ambazo wangewekeza kwenye mechi za kimataifa timu hizi zingekuwa zinafika hadi fainali.

Ukizaliwa Tz lazima uwe upande mmoja kama si Yanga basi utakuwa Simba mtu akikwambia hana timu kati ya hizi anakudanganya.Basi acha tuendelee kuziabudu tu na porojo za kina Hajji Manara na Dismas Ten.
Si useme ni wa simba tu au unapoozea, wachawi wanajulikana
 
Back
Top Bottom